Nini unajivunia siku ya leo?

Nini unajivunia siku ya leo?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,763
Reaction score
27,159
Njoo tushare yale ambayo tumeamka tunajivunia na yanatupa furaha kwa siku ya leo.

Binafsi, leo kwenye safari yangu ya kupunguza uzito, rasmi nimeshuka chini ya 70kg, najivunia na nimefurahi sana.

2291AD94-6616-426C-901F-ADB29B173667 copy.jpg

Nikifika lengo langu la uzito ninaoutaka nitarudi kuwasimulia mapito na hekaheka za safari hii ambayo nimeianza tokea January na nikaja humu in February kuomba ushauri (NISAIDIENI NIPUNGUE) - kwa sasa, I'm proud of myself.
 
Cc:
min -me , Poor Brain , onestopcenter , Harmful

Lamomy mwanakwetu hii safari ni pevu 😅
Hongera na pole, mimi nilipambana kupunguza traco mpk nimefanikiwa lakini ajabu shemejio anachukia 😹😹😹

Kiukweli sipendi kuwa na furushi, napenda niwe portable nilikuwa vegetarian na nashinda gym asubuhi na jioni..!!

Kuna siku trainer alinipa mazoezi mpaka tukazinguana kabisaa..!!
So huo mziki naupata vyedi.
 
Hongera na pole, mimi nilipambana kupunguza traco mpk nimefanikiwa lakini ajabu shemejio anachukia 😹😹😹
Hata huyu wangu hapendi ila anakubali kishingo upande, nimemuambia kama anataka niwe namkalia juu dakika 20 lazima nipungue 😂😂
Kiukweli sipendi kuwa na furushi, napenda niwe portable nilikuwa vegetarian na nashinda gym asubuhi na jioni..!!
Kwanini hutaki kuwa na mkia mrefu mamie 😂?
Kuna siku trainer alinipa mazoezi mpaka tukazinguana kabisaa..!!
So huo mziki naupata vyedi.
Mimi mazoezi nayastahimili ila kwenye chakula, masharti ya kupunguza vyakula vya wanga ndiyo yaliniendesha 😮‍💨🫠
 
Back
Top Bottom