Nini umuhimu wa hiki kibao?

Nini umuhimu wa hiki kibao?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Ndugu wanajamii.
Nimekuwa nikiangalia hii picha ya mkuu wa wilaya Igunga kwa makini. Katika kuangalia zaidi nikaona kuna kibao hapo mbele ya meza aliyopo, katika hicho kibao inaonekana ni jina lake lakini maandishi yameelekezwa kwake. Sasa nimeshindwa kutambua umuhimu wa hicho kibao. Huenda huyu mama huwa anasahau jina lake mara nyingi awapo ofisini. Inawezekana alijisahau kujijua yeye ni nani ndipo akaenda kuvunja sheria za uchaguzi huku akiwa mkuu wa wilaya.
Angalia picha mwenyewe.

3+%25283%2529.jpg
 
3+%283%29.jpg
Huyu ni mbumbumbu anatafuta public sympathy.
 
bi mkora nimekupa PHD
ccm wanamtumia inaonekana ni wale waliongia kwenye system wakati wa chama na serikali
wakadanganywa madarasa manne ni sawa na degree ya sasa
CCM tunaizika rasmi kipindi hichi.
 
Wee mama unaleta ushalobaro mbele wa simba waliojeruhiwa..... kwanza umeheshimiwa kidogo...ungepata kipigo.
 
Back
Top Bottom