Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
- Kulala njaa-kulala na njaa
- Gari yangu-gari langu
- Kuchukua fursa-kutumia fursa
- Ruhusa-ruksa
- Marehemu-hayati
- Majonzi-machozi
- Kupika mchele-kupika ubwabwa
Asante
Asante mkuu. bado nategemea mawazo yenuKulala njaa
Gari langu --- magari yangu (Li/Ya)
Ruhusa = ruksa
Marehemu na hayati ni ^Viswahili^ sanifu
majonzi = huzuni; machozi = tears
Kupika wali ama kupika ubwabwa (end product ndiyo humata! Like: kupika ugali not kupika unga wa mahindi 🙂 )