Nini ubora wa elimu tz

Vadrosha

Member
Oct 21, 2016
11
3
Km kwa sasa dvtion three wa kidato cha sita ana tupiwa certificate na wa o-level wenye dvtion 3 pia kisa kutofikisha GPA 4 na wanatoa chance ya diploma sec bt chache sana kulingana na wadau je nini maana ya kufika kidato cha sita?
 
Walivyo rhusu ordinary dplm kwa ss tulio anza walituruhus ku transfer bt bado atujapata chanzi wametuacha
Afu kumbuka waliifuta ivo
duh sikujua kam iko ivo,kumbe...pole ase.jaribu kufatilia kwa ukaribu ama namna nyingne ya kufanya kam matkeo yako yako vzur...mana mi nina kak angu yupo anasom hyo ordinary diploma pale NIT.
 
form six huu mwaka wa shetani kwenu div 3 unaenda diploma tena miaka 2 na uwe na uhakika wa kupata gpa ya 3 vinginevyo degree mtaisikia tu poleni sana ndalichako huyu si wa mchezo mchezo
 
Km kwa sasa dvtion three wa kidato cha sita ana tupiwa certificate na wa o-level wenye dvtion 3 pia kisa kutofikisha GPA 4 na wanatoa chance ya diploma sec bt chache sana kulingana na wadau je nini maana ya kufika kidato cha sita?
tafuta kazi mambo ya elimu mwachie ndalichako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom