Nini tofauti ya wanahiphop wa Marekani na wa tanzania

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
3,280
4,236
Kama kinavyosema kichwa cha habari ivi ni ipi tofauti ya wanahiphop wa Marekani na wanahiphop wa apa Tanzania

Kuanzia


Kiuchumi
Kijamii
Kisiasa
Kimazingira
Kimafanikio

Pamoja na maisha yao kwa ujumla
 
No moja kule hakunaga wanahiphop masela mavi ila apa Tanzania wapo
 
Professionalism ukimaanisha kuwa wa uku kwetu Bongo hawana Professionalism ama sijakuelewa vizuri?

ni kufanya kazi katika utaratibu rasmi na unaohusisha 'utaalam'. Hii inahusisha usimamizi(management like branding, finance) n.k mchukulie diamond yule ni professional musician. That element is missing in bongo rap music. Wanafanya mambo 'kisela'.
 
Back
Top Bottom