ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
jiulize wewe uonae skendo za wenzako hizo za kwako ndio imani iliyosafi? pili hizo skendo unazodai una uhakika nazo au ni huo ushabiki wako kwa mambo ya kusikia tena yasiyo na msingi?jitafakari kwani yawezekana unafanya kazi ya shetani bila kujitambua...
ndugu,yeye amesema skendo za watumishi maana hao ni watu wa muhimu haswa kwenye ukristo..soma kitabu cha Timotheo ujue mtumishi wa Mungu anatakiwa kuwa vipi..ni aibu sana kwa mtumishi wq Mungu kama mtume nabii, askofu, ama mchungaji kuwa na skendo