ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,382
- 49,688
Msomi amesomea jambo Fulani, asiye msomi hajasomea jambo hiloActive ni saidie kuedit Title isomeke Nini tofauti ya msomi na asie msomi?
Kwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?Msomi amesomea jambo Fulani, asiye msomi hajasomea jambo hilo
Ndiyo anaweza kuwa mjinga katika jambo Fulani.Kwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?
Ooh sawa mimi nilitegemea kue na tofauti kubwa sana kati ya msomi na asie msomiNdiyo anaweza kuwa mjinga katika jambo Fulani.
Nimeelewa dear 😍Kusoma na kuwa na akili ni vitu viwili tofauti
Unaweza ukawa msomi lakini huna akili
Unaweza ukakuta mtu ana akili ya kuchanganua mambo ila Hana elimu kubwa(usomi)
Na tofauti Yao utakiona katika utendajo wao wa mambo.namna wanavyotelekeza.
Kwa sababuKwa hiyo msomi anaweza kua mjinga pamoja na kua ni msomi?
Labda nimekosea kuwasilisha ila maana yangu ni kwamba mara nyingi tunaambiwa nenda shule uondoe upumbavu kicwani au uondoe ujingaShida ni kwamba neno "genius" halina maana moja. Linaweza kumaanisha ubunifu, uvumbuzi au hata kuwa na kipaji maalum.
Inapendeza zaidi ukibainisha, labda genius wa muziki, genius wa hisabati nk.
Tambua kwamba hakuna mtu aliye bora kwenye kila kitu. Lazima kuna mahali utapelea. Huu ni ubinadamu, uwe ni genius ama sio.
Ooh sawa Asante 🙏Msomi anajua kitu fulani cha kiprofeshino
Asiye msomi hajui kitu cha kiprofeshino.
You can be a professor but still "an adiot "Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔
Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?
Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya maamuzi yao yanakufanya ujiulize kama kweli elimu peke yake inatosha kumfanya mtu awe na akili
Unakuta mtu ni kiongozi ameshika nyadhifa mbali mbali ila ukitazama maamuzi yake unabaki na alama ya mshangao heh huyu si ni msomi?
Unajiuliza huyu elimu haikua na msaada kwake ?
Mbona anaamua,anaongea kama mjinga?
Wakati huo huo unakutana na mtu ambaye hakusoma sana au hakupata nafasi ya kusoma kabisa, lakini ana uwezo mkubwa wa kufikiri, kutatua matatizo na kuona mambo kwa upeo mpana kuliko hata baadhi ya wasomi
Hapo ndipo nikajiuliza, ni nini hasa kinachomfanya mtu aitwe genius na ni nini kinachomfanya aonekane mpumbavu?
Je, ni kiwango cha elimu?
Je, ni uwezo wa kufikiri?
Je, ni maamuzi anayofanya kila siku?
Au ni namna anavyojifunza kutokana na makosa yake?
Kwa mtazamo wangu, elimu inaweza kuongeza maarifa, lakini si lazima iondoe upumbavu
Maana kuna wasomi wapumbavu(hapa nisamehewe)
Na kutosoma sana si lazima kumfanye mtu akose akili
Wewe unaonaje?
Tofauti ya mtu mwenye akili nyingi na mpumbavu unaiona wapi?
Na elimu imekusaidia nini hasa kwenye hilo?
Chombezo( ni kua hata wapumbavu huzeeka)
ShesRise_1 🤚
It's Furahi deiiiiii💃
Ujinga ni kutokojua jambo Fulani ukishajua ujinga umeisha👏Kwa sababu
Mjinga akishaambiwa inakwisha
Ujinga ni kutojua (inamaana gani?)
Maana haujui lilifanyika nini?
Sasa ukielezwa ujinga wako unakwisha
Now you know!
Ujinga ni Ignorance mmh
Hujui maana yake ni nini au nini kilifanyika au inafanyika vipi au inakuajekuaje? Ukishajua wewe sio mjinga tena
👏👏👏Upumbavu ni Foolishness
Foolishness ni kitu cha kipuuzi ni kitu kisichokua na maana yoyote ni upuuzi upuuzi tu
Ukiambiwa unafanya upumbavu au wewe ni pumbavu maana yake unafanya upuuzi au unafanya vitu ambavyo havina maana yoyote kwa watu wanaokuzunguka
Lengo kuu la shule ni kujenga wananchi bora. Shule inapaswa ifundishe watu ustaarabu, nidhamu, udadisi na mawasiliano bora.Labda nimekosea kuwasilisha ila maana yangu ni kwamba mara nyingi tunaambiwa nenda shule uondoe upumbavu kicwani au uondoe ujinga
Sasa ndio maana nikauliza mbona baado kuna wasomi wengi tena elimu za juu lakini bado wanaonekana maamuzi yao ni kama ile elimu waliyoipata haikuondoa huo ujinga au upumbavu?
Ooh sawa kwa hiyo kumbe elimu haiondoi ujinga kwa asilimia 💯?You can be a professor but still "an adiot "