Nini tofauti kati ya maneno Explain na Describe

Nini tofauti kati ya maneno Explain na Describe

Wakuu naomba utofauti wa namna ya kujibu swali kutokana na hizo key(hayo maneno)
Mfano umepewa swali:
Explain types of research.
Describe types of research.

🙏🙏🙏

Hayo ni Maneno yanayofanana sana katika maana na yanaweza/huwa yanatumika interchangeable.---Explain , describe , an account of nk,.
 
Mkuu, kama pale DODOMA utumishi wao wanauliza tu kuwa explain types za research hawana mambo mengi.. Sasa sijui hapa tuwe tunaingia wapi, Ila kwa nilivyosoma Darasani ni kuwa research zimegawanyika kutokana na misingi ifuatayo:-
1. Type based on function hapa Kuna
Exploratory, descriptive and Explanatory researchs

2. Type based on type of data hapa Kuna
Quantitative and qualitative researchs.

3. Type based on aim hapa Kuna
Basic/pure and Applied researchs.

4. Type based of the inherent ability of "controlling" rival explanations.
Hapa Kuna Experimental and Non- Experimental researchs.

so kama ulivyosema, sometimes swali linaweza kushinda kujibika kutokana na muuliza kutodadavua swali freshy.
SO unaweza nirekesbisha kama nimeteleza hapo juu
Uko sahihi kiasi kikubwa lakini...
(1) Exploratoy reseach hutumika mahala ambapo tunajuwa kidogo au hatujui kabisa. Hii hutumika kwenye building knowledge, kwa mfano magonjwa kama ukimwi/corona
ebola yalipotufika tulikuwa hatujui chochote kuhusu haya magonjwa. Tulikuwa hatujui kinga au bambna ya kujikinga. hamna tiba, n.k. Tafiti nyingi kwenye hili zilikuwa exploratory (explore). Descritive research inalenga kutoa taarifa kama za kitakwimu. Hatuangalii uhusiano wa variables (independent/dependent. Explanatory (explain) tunaangalia uhusiano wa variables (independent na dependent na kujaribu kuona kama independent variable ikibalika itabadilisha dependent varia? Au tunaangalia associatio, causal relationship betwee independent variable(s) na dependent variable.
(2) Hiyo ni Type/approach, kuna ya tatu ambayo ni mixed approach.
(3) inweza baki hivyo...
(4) Hiyo imechanganywa mno na ukiikubali unaweza kukuta ziko zaidi ya 20 hata 30. Hebu angalia Powerpoint nilizoambatisha huenda zikakusaidia... Usijali zinaenda na fani gani, kwa sababu research methodology (steps) ziko sawa katika fani zote. Tofauti ziko kwenye uwezo wa controlling for contamination, ambapo wenzetu kwenye pure sc iences wanaweza kufanya hivyo, lakini kwenye social sciences inakuwa uphill kufanya hivyo...

GOOD LUCK
 
Attachments

Dah..!!! Nasubiria siku utakayouliza kitu ambacho hakipo kwenye

Ubarikiwe mkuu kwa hizi nondo 🙏🙏🙏
 
Umeniangusha pamoja kutumia simu kali, uwepo wa bando, internet cafe, still no use of google and you tube plus other search engines, spoon feeding itazalisha mafufu wengi sana, The mafufu generation

Describe is used typically on the following:

If the question require answers in a procedural way, structural way, series, steps, drawing,sketching, illustration, some kind of phrases plus sketch, but intuitively people misuse this action verb so often and few understand appropriate use of describe.

Mention= appropriate with oral exam
List, outline, itemize= written exam,
Discuss= contesting/argument, if the question has multiple perspectives don't say yes or no, whether yes or no it's a matter of a debate, an argument will decide then deploy all perspectives and there after have your stand point, recommend and end discussion with aligning conclusion.
 
Back
Top Bottom