Nini tofauti kati ya hizi sehemu?

lounge- ni kaeneo kakupokelea ugeni, mdano ukienda ofisi kubwa kubwa utapata receptionist anakwambia kaa hapo usubiri (labda kuingia ofisi ya bosi) hapo anapokwambia ukae utakuta ni pazuri pana kochi sofa kama sebuleni na tivi pengine na meza ina magazeti, hiyo sehemu ndio lounge. pia ukienda club utakuta kuna sehemu imetengwa iko tofauti na sehemu ingine ya club unapata kuna coffee table pengine sofa kama za sebleni mbali na yale maviti makubwa ya kaunta n. k hapo ni lounge,

motel- ni hoteli zilizo kwenye barabara kuu zinalenga wateja wao ni wasafiri, mfano mtu anaenda mkoa fulani anafikia kwenye motel akiwa analala njiani

hotel- ni hoteli aisee unazijua

lodge- ni naonaga ni vihoteli vidogo huwa na mandhari kama ya nyumban hivi
 
Back
Top Bottom