Nini tofauti kati ya hizi sehemu?

Nini tofauti kati ya hizi sehemu?

vp
hii ni Homework au??

Maana sidhani kama hata google umeshindwa kupata maana zake
Hivi unajua kwamba hata wew unaweza weka kitu Chako kule Google na ukaandika........Lounge is a place where people play football........na watu wakawa wanaigoogle na kuchukua hyo definition!!??? Unalijua Hilo!!???
 
Nani anaifahamu VANTELLA INN miaka ya 90 pale kihesa Iringa?
 
club- panauzwa pombe na kuchezwa muziki usiku

pub- wanauza pombe

bar- unazijua bar aisee

grill- wanauza nyama choma

restaurent - mgahawa wanauza chakula
lounge- ni kaeneo kakupokelea ugeni, mdano ukienda ofisi kubwa kubwa utapata receptionist anakwambia kaa hapo usubiri (labda kuingia ofisi ya bosi) hapo anapokwambia ukae utakuta ni pazuri pana kochi sofa kama sebuleni na tivi pengine na meza ina magazeti, hiyo sehemu ndio lounge. pia ukienda club utakuta kuna sehemu imetengwa iko tofauti na sehemu ingine ya club unapata kuna coffee table pengine sofa kama za sebleni mbali na yale maviti makubwa ya kaunta n. k hapo ni lounge,

motel- ni hoteli zilizo kwenye barabara kuu zinalenga wateja wao ni wasafiri, mfano mtu anaenda mkoa fulani anafikia kwenye motel akiwa analala njiani

hotel- ni hoteli aisee unazijua

lodge- ni naonaga ni vihoteli vidogo huwa na mandhari kama ya nyumban hivi
20210103_160143.jpg
 
Hivi unajua kwamba hata wew unaweza weka kitu Chako kule Google na ukaandika........Lounge is a place where people play football........na watu wakawa wanaigoogle na kuchukua hyo definition!!??? Unalijua Hilo!!???
Ndo maana gugo ukisach yanakuja mambo rukuki afu kwel ni moja
 
lounge- ni kaeneo kakupokelea ugeni, mdano ukienda ofisi kubwa kubwa utapata receptionist anakwambia kaa hapo usubiri (labda kuingia ofisi ya bosi) hapo anapokwambia ukae utakuta ni pazuri pana kochi sofa kama sebuleni na tivi pengine na meza ina magazeti, hiyo sehemu ndio lounge. pia ukienda club utakuta kuna sehemu imetengwa iko tofauti na sehemu ingine ya club unapata kuna coffee table pengine sofa kama za sebleni mbali na yale maviti makubwa ya kaunta n. k hapo ni lounge,

motel- ni hoteli zilizo kwenye barabara kuu zinalenga wateja wao ni wasafiri, mfano mtu anaenda mkoa fulani anafikia kwenye motel akiwa analala njiani

hotel- ni hoteli aisee unazijua

lodge- ni naonaga ni vihoteli vidogo huwa na mandhari kama ya nyumban hivi
1.Hotel ni mahali ambapo chakula,vinywaji na malazi hupatikana
2.Restaurant ni mahali ambapo chakula na vinywaji tu hupatikana
3.Lodge ni mahali ambapo malazi,chakula na vinywaji hupatikana,aghalabu huwa ni eneo dogo
 
Back
Top Bottom