mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,107
Ondoa hofu, tafuta demu unayempenda na unayemmudu, gonga kiagra (hakikisha hauna magonjwa ambayo hayapatani na viagra, hii ina boost confidence sana) jitahidi kupunguza pupa, tumia mda mwingi foreplay na mastory na manzi yako jabla ya game, hii pia ina boost confidence, hakikisha muda huo mko full au half naked then piga mzigo. Tatizo lako lipo kichwani ndugu, hii inatokea sana kwa waathirika wa nyeto, nilipata shida hiyo kwa miaka mitatu, hii njia ilinisaidia sana, bahati nzuri mpenzi wangu alijua tatizo langu hivyo alinisaidia kuni confort hadi nika gain confidence.