Nini tiba ya kuweweseka ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tiba ya kuweweseka ?

Discussion in 'JF Doctor' started by The only, Mar 5, 2012.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Kwa ignorants husema wamekabwa wengine husema ni jinamizi,sasa mimi naweza stuka ucku hata mara 7 ninakuwa kama nataka amka ila siwezi ukomand mwili.msaada plz
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mkuu hilo tatizo linaitwa sleeping paralysis. Nitatizo linalotokea wakati unapoenda kulala au wakati unapotaka kuamka husababishwa kulala chali(supine position), unywaji wa pombe, stress, mawazo wakati unapoenda kulala husababisha noradrenergic na serotonergic nerve kwenye ubongo unahusiku na usingizi (pon na sehemu zingine za brainsterm structure) kuzuiwa au kupunguza kazi yake kutokana na hali hiyo kunafanya misuli kupoteza kazi au kupungua(loss of muscles function) mgonjwa au mhusika hupatwa na ndoto na kuhisi kama amekabwa ,kubebwa na kitu na kushindwa kutoa sauti(hallucination) kwa sababu muscles zote hupoteza kazi yake na kukufanya usiwe nauweza wa kushindwa hali hiyo. Kingine style ya kulala au chumba kisichokuwa na hewa ya kutosha hufanya kukokesekana kwa oxygen circulation kwenye tissure za muscles na kukosekana kwa energy kitendo kinachopelekea loss of muscle function. Pia ulaji wa chakula solid food na kushiba sana kunafanya moyo kusukuma damu sehemu za tumbo na kufanya sehemu zingine kukoswa blood ya kutosha na kufanya loss of muscle function . Chakufanya jaribu kubadilisha style ya kulala, kula chakula aina ya liquid food au kabla ya kulala kunywa glass nne za maji, fanya mazoezi , usivimbewe (kula kupita kiasi), punguza mawazo,punguza pombe, copy stress
   
 3. The only

  The only JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  nimefanyia kazi ushauri, jana nimeogelea saa nakula ndizi rojo pombe bia moja tuu ,braza nimelala kama kichanga na kazini niko so efficient. asante mkuu ,kumbe kuna watu mnamaarifa makuu hivi .
   
 4. The only

  The only JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  nimefanyia kazi ushauri, jana nimeogelea saa nakula ndizi rojo pombe bia moja tuu ,braza nimelala kama kichanga na kazini niko so efficient. asante mkuu ,kumbe kuna watu mnamaarifa makuu hivi .
   
 5. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kawaida tu mkuu ninachokifahamu mimi razima ni msaidie na mwenzangu asante sana kwa feedback nzuri kwakweli umenitia moyo sana
   
Loading...