kikonko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 513
- 122
Habari wanajf.tatizo la pikipiki aina ya boxer la kutoa moshi ni nini?.mie yangu imenishinda nimefunga ring piston.tatizo lipo pale pale.nikanunua block bado tatizo lipo palepale.huwa nikifunga inatembea wiki moja tu inaanza kusmoke.nini tatizo wadau la hizi pikipiki?