Ndugu utakuwa uliona kwa Makengeza, Nape ni kilaza, hata akiongea kwenye KITCHEN PARTY huwa anaropoka. Ila sio kosa lake, mara nyingi watoto wa nje ya ndoa huwa ni second best kwenye malezi kwa hiyo huwa wanakosa upendo wa mama. Nape baada ya kukosa upendo wa mama kwenye makuzi yake anautafuta upendo huo kwa kuisema CDM.Mimi huyu jamaa simwelewi, akiwa anaongea yacyohusu siasa yupo smart sana na makini lakini likija suala la siasa anageuka frm hero 2 zero na kuongea kama amekatwa kichwa, huwa cjui ccm huwa inaharibu ubongo au kuna siri gani mi cjui
Usijali. Ni ushahidi tosha kuwa CDM ndiyo chama mbadala pekee wa Chama cha majambazi(CCM). Anatapatapa. Kwa msomaji mwenye akili chambuzi CDM ndiyo mkombozi wa WATZ.Mi najiuliza, huyu Nape anashida gani na CHADEMA? Mara kwa mara nimekuwa nikimsikia akiizungumzia CHADEMA kwa mabaya.
Nimesikia kwenye magazeti leo asubuhi kuwa; eti CHADEMA isitafute mchawi anaeihangamiza, akidai kuwa tatizo lipo ndani ya chama. Kwani yeye ni msemaji wa matatizo ya CHADEMA?
Au hii ni mbinu ya kuihangamiza CHADEMA kisaikolojia?
Mtazamo wangu ni kwamba, huyu ndiye mchawi wa kwanza kwa sababu anaifuatilia sana CHADEMA na kutoa shutuma za uongo dhidi yake katika vyombo vya habari. Ajiweke karibu zaidi na chama chake cha CCM na kutatua matatzo kibao ya kabla ya kifo chao rasmi 2015.
wanao tofautiana maoni na viongozi wa juu chadema tatizo ni nape na wassira,masalia ndani ya chadema tatizo nape na wassira,pm7, tatizo nape na wassira,ukanda ndani ya chadema wanachochea wassira na nape,udini ndani ya chadema wanachochewa na nape na wassira,kufukuzana ndani ya chadema tatizo nape na wassira,mkiambiwa kwa jinsi mnavyoipeleka chadema itakula kwenu,mnalalama wanaoisambaratisha ni nape na wassira na hili la slaa kujukopesha mamilioni ya chama nalo katumwa na nape na wassira?Ndugu utakuwa uliona kwa Makengeza, Nape ni kilaza, hata akiongea kwenye KITCHEN PARTY huwa anaropoka. Ila sio kosa lake, mara nyingi watoto wa nje ya ndoa huwa ni second best kwenye malezi kwa hiyo huwa wanakosa upendo wa mama. Nape baada ya kukosa upendo wa mama kwenye makuzi yake anautafuta upendo huo kwa kuisema CDM.
Uzuri ni kwamba Nape anasaidia sana kuijenga na kuiimarisha CDM maana ikifika 2015 itakuwa imepambana na njama zote, wasaliti na wenye njaa wamefukuzwa na kazi inabaki moja ya kutafuta ushindi. Ahsante Nape kwa kusaidia ukombozi bila kujielewa
Umemsahau na mmoja Mwigulu Chemba. Nashukuru pamoja na unafiki wako wa kutoona matatizo ya CCM leo umebaini wanaohujumu CDM, big up. Washauri twende Mtwara sana tukawaelimishe wananchi kuhusu gesi tukiongozwa na Nape, Wassira na Mwiguluwanao tofautiana maoni na viongozi wa juu chadema tatizo ni nape na wassira,masalia ndani ya chadema tatizo nape na wassira,pm7, tatizo nape na wassira,ukanda ndani ya chadema wanachochea wassira na nape,udini ndani ya chadema wanachochewa na nape na wassira,kufukuzana ndani ya chadema tatizo nape na wassira,mkiambiwa kwa jinsi mnavyoipeleka chadema itakula kwenu,mnalalama wanaoisambaratisha ni nape na wassira na hili la slaa kujukopesha mamilioni ya chama nalo katumwa na nape na wassira?
hata kama nikazi yake lakini aseme vitu vya ukweli siyo vya kutunga kama mwegulu mchemba
wanao tofautiana maoni na viongozi wa juu chadema tatizo ni nape na wassira,masalia ndani ya chadema tatizo nape na wassira,pm7, tatizo nape na wassira,ukanda ndani ya chadema wanachochea wassira na nape,udini ndani ya chadema wanachochewa na nape na wassira,kufukuzana ndani ya chadema tatizo nape na wassira,mkiambiwa kwa jinsi mnavyoipeleka chadema itakula kwenu,mnalalama wanaoisambaratisha ni nape na wassira na hili la slaa kujukopesha mamilioni ya chama nalo katumwa na nape na wassira?
hapana.tunataka upinzani safi ili ufanye chama tawala nacho kiwe safi.huwa mnanichekesha tu mnavyotoa maoni na ushauri kwa cdm as if mnaihurumia au kuipenda, wakati hata sala zenu za asubuhi na usiku mnaiombea kifo cdm, mmeshasahau hata mambo yenu ya msingi yanayowakabili mnayotakiwa kuyashughulikia. mkilala mnaota cdm, mkitembea mnaota cdm, kwenye vikao vyenu cdm, hakuna anayemaliza jambo bila kugusa cdm. hongera cdm, mnawatoa kamasi ccm walahi