Habari Zenu
Leo Ningependa Kuwakumbusha Kuhusu Ndoto Kwanza Tambua Kuna Ndoto Aina Tatu..
Hizi:
1: Ndoto Itokayo Kwa M/mungu(saa Unapoingia Kulala Hadi Unapozinduka)
2: Ndoto Itokayo Kwa Shetani(saa unapozinduka kwa kustuka ukarudi kulala hadi utakapoamka)
3: Ndoto Itengenezwayo Na Ubongo (wakati kati unaanza kusinzia au unakaribia kuamka)
Tukianza Na Ndoto Ya Kutoka Kwa Mola... Hii Ni Ndoto Ile Unayoota Inakuwa Na Habari Ya Heri.. Ambayo Mara Nyingi Huwa Ni Ndoto Ya Kweli Na Huwa Ndoto Safi Yenye Kueleweka.. Inafaida Kama Utakua Msiri Mpaka Itakapo Timia Siku Hiyo Ndoto Hii Inasehemu Mbili Either Hai Au Hufa... Uhai Wa Ndoto Hii Huja Pale Unapokuwa Msiri Na Ndoto Yako Na Hutokea Kweli Mara 3 Bila Kuzidi Kuchunguzwa Kama Unauwezo Wa Kuhimili au Laa! utaota Mara Ya Kwanza Hutatilia Maanani, Ya Pili Pia Zitatokea Utakapoota Ya Tatu Huwa Ni Ya Kuskitisha Kidogo Na Usipoangalia Huo ndio Huwa Mwisho Wa Wengi Wenye Ndoto zinazotekea Kweli.. Hii Husababishwa Pale Unapoanza Kuhadithia Kwamba Nimeota Kitu Fulani Kikatokea na Fulani Kikatokea Hizi Ndoto Kukurudia Tena Sahau, Labda Baadae Sanah.... hizi hutokea Pale Ufanyapo Sana Ibada..
2: Ndoto Za Shetani:
Hizi Huotwa Kwa Vitimbi Vya Kujidanganya Nafsi Kwamba Unaota Umo Ndani Ya Jumba La Kifahari unafanya starehe Wakati Umelala Sakafuni Au Sehemu Ya Kawaida, Pili Waweza kuota upn na mschana au mvulana ambae unampenda na kutamani asiondoke na akiondoka au ukistuka wewe hubaki na huzuni na kuwaza sana ulishawah kumuona lakini wapi... Ama tatu unaweza uota unacheza,unafuraha,unapaa,unaota ndotoni umelala unaota yani ndoto inazaa ndoto,au unaota ww ni mdogo umetukuzwa aunaona majitu makubwa, au unaota unakabwa,unajinyea,au umeokota pesa... Hizi Hutokea Pale Unapojiweka Katika Hali Ya Uchafu Uchafu
3: Ama Ndoto Ya Ubongo ya Tatu Hii Hutokea Kila Mtu Unaota Ukiangalia Umelala Katikati Ya Kitanda Ila Unaona Kama Unadondoka Unaweweseka, Au Unaota Unaota Unakimbizwa Na Watu Simba Au Chochote Cha Kutisha Unakimbia Huku Unajilazimisha Kukimbia Zaidi Lakini Huna Speed Na Wao Hawakufikii.. Au Unaota Unadondoka Kwenye Shimo Kubwa Au Unaota Unamlazimisha Mschana Au Mvulana Mfanye Tendo Bila Kufanya Mbegu Zinatoka, Au Una Muota Mtu Uliezungumza Nae Mchana Anarudi Tena Ndotoni Au mtu Unaempenda Sana Au Kujikojolea Hizi Hutokea Pale Mtu Anapozidisha au Kujiover Dose Vitu Mwilini Either Chakula,Maji,drugs N.k...
Ushauri:
1: Usipende Kuhadithia Ndoto Zako Hovyo Kwa Kila Mtu Mhadithie Mtu Unaejua Ana Ufahamu Na Ndoto..
2: Kama Ni Mtu Unapenda Dini Muhadithie Kiongozi Wako Wa Dini Atakusaidia..
3: kuwa Na Msimamo Katika Mambo Yako Yote...
Nb: Ndoto Imekuona Ni P.M Takusaidia Kutafsiri Kadri Ya Uwezo...
Jf: Ukiona Haikufai Pita Mbali...
Me: I Used To Study People Psychology Since 2009-2012 My Teacher Was Cleo Clever If You Know Him... I'm Friendly To Everyone Bt I Cant Be In Friendship With Anyone...