daraja maana yake ni Yesu, mlima ni sehemu salama mahali pa kukimbilia. Kumbuka Lutu aliambiwa aende mlimani ili kusalimisha Kaisha yake, Yesu alisurubishwa mlimani, pia watu huwa wanajenga kwenye mlima sio bondeni. Hivyo mlimani ni sehemu salama.Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal
Grace acha wakubeze ila imeandikwa ' siku za mwisho wazee wataota ndoto na vijana watapata maono'. Mie nabashoro ndoto hii maana yake ni kuondoka kwa utawala wa CCM madarakani na kuingia kwa CDM kwani kama ni damu CCM walishaimwaga sana tu!
Jiangalie vizuri utakuwa umeingia period usiku wa leo.
Utakuwa ulishiba sana usiku. Inashauriwa usile sana usiku matokeo yake ndo kuona mawengemawenge kama hayo.
Si shabiki wa mpira hta kidogo
Habari wana MMU,
Nimekuwa nikiota nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani. msaada tafadhal
Umenisaidia mkuu na anaiota kila siku na inakua hivyo hivyo,
Ameiota mara ngapi?
Pole that's means utakwama/kushindwa kwy jambo muhimu maishani mwako!kama ni unayeamini uwepo wa bwana na mwokozi Yesu Kristu,sali na kemea maana hizo uwa ni hila za shetani!
'sasa tatizo hajasema ndoto ikoje kimtiririko yee ameweka tu theme ya ndoto hajaweka vitendo vyote ndani yake'
Hiyo ndoto hua inajirudia?
Ndiyo ndo hii hujirudia kama siyo kushindwa kushuka au kupanda mlima, basi inakuwa nashindwa kuvuka kwenye daraja au nashindwa kushuka ngazi
daraja maana yake ni Yesu, mlima ni sehemu salama mahali pa kukimbilia. Kumbuka Lutu aliambiwa aende mlimani ili kusalimisha Kaisha yake, Yesu alisurubishwa mlimani, pia watu huwa wanajenga kwenye mlima sio bondeni. Hivyo mlimani ni sehemu salama.
Maana ya ndoto yako, maisha yako hayajampwndweza Mungu, ndio sababu haufanyi hatua inayoeleweka katika maisha yako. Neno linasema njia ni nyembamba iyendayo uzimani.
Chakufanya, amua kuokoka kwa kumaaniaha, uyakabidhi maisha yako kwa YESU.
habari wana mmu,
nimekuwa nikiota ndoto, nashindwa kupita kwenye daraja nyembamba ya miti au njia za milimani au ngazi. Mfano leo nimeota ngazi, ilikuwa mchana na watu wengi tu wanapita mimi nikiwa na mr. Tulipofika sehemu ya kushuka hizo ngazi sasa ni nyembamba imesimama wima na anapita mtu mmoja mmoja, na akiwa anashuka mtu zinakuwa kama zinacheza cheza. Ilipofika zamu yangu nilipojaribu kushuka nikawa naona kizunguzungu nikashindwa nikaa pembembeni wakati huo mr. Alishashuka yupo chini anagomba kwa nini nashindwa kushuka wakati wengine wanashuka.
Msaada tafadhali.