NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
- Thread starter
-
- #21
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Moja ya biashara zenye risk duniani ni kitendo cha mwanamke kua na boyfriend kwa lengo la kuolewa, aisee it's too risky maana ni sawa unamuonjesha mtu karanga, karanga zikiliwa zimeliwa maana hata mteja akighairi kununua bado huwezi kumdai karanga ulizomuonjesha.
Kuna maneno flani yanaandikwa kwenye stakabadhi za fedha "Non refundable fee"[emoji23]
Mangi anaandika "Bidhaa zikishanunuliwa hazirudishwi"[emoji23]
Dah! Mi nilijua kwa vile tunawashikashika sana ndo maana wanaona tunawachezea.....![/QUOTE]Dan! OTE="Gene da beauty, post: 21908702, member: 429206"][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoa mada jibu hili hapa!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yani unawasha mziki afu unakata mauno mbele yake hapo unamchezea
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Ndoto yamwanamke yeyote duniani ni kuolewa na ivo ndivo inatakikana iwe sababu ata vitabu vya dini vimeagiza ivo,sasa kitendo tunachokifanya wanaume wa sikuhizi twawafunua vyupi vyao na kuwaacha tu wakihangaika na wengne kuishia kua single mom sio poa.Vuta picha kama mwanao au dada ykokafanyiwa ivounajisikia ww kaka mtu au baba mtu.
Unazeesha papuchi then unasepa,unategemea nani atakula papuchi ya kizee.
Imekuwa kawaida kwa wanawake wakiwatuhumu wenzi wao kuwa wanawachezea!!
- Utasikia mwanaume yule kani heezea we kisha kaniacha!! Au
- Unamtkkea demu afu anakuuliza una mpango gani na Mimi!! Kunioa au unataka kunichezea tu!!
Kwa anayejua tafsiri sahihi Ku hezewa please!!!!