NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
??.. And You Love Jesus!!!...
Imekuwa kawaida kwa wanawake wakiwatuhumu wenzi wao kuwa wanawachezea!!
- Utasikia mwanaume yule kani heezea we kisha kaniacha!! Au
- Unamtkkea demu afu anakuuliza una mpango gani na Mimi!! Kunioa au unataka kunichezea tu!!
Kwa anayejua tafsiri sahihi Ku hezewa please!!!!
Tafsiri nzuri sana hii.Ajiriwa halafu usilipwe mshahara uliokubaliana na bosi wako, huko ndio kuchezewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona hvyo ujue kuna raha ya kuchezewaWanapata raha kuchezewa ndio maana hawakomi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoa mada jibu hili hapa!!Yani unawasha mziki afu unakata mauno mbele yake hapo unamchezea
Duh[emoji87] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Moja ya biashara zenye risk duniani ni kitendo cha mwanamke kua na boyfriend kwa lengo la kuolewa, aisee it's too risky maana ni sawa unamuonjesha mtu karanga, karanga zikiliwa zimeliwa maana hata mteja akighairi kununua bado huwezi kumdai karanga ulizomuonjesha.
Kuna maneno flani yanaandikwa kwenye stakabadhi za fedha "Non refundable fee"[emoji23]
Mangi anaandika "Bidhaa zikishanunuliwa hazirudishwi"[emoji23]
[emoji23] [emoji23]Duh[emoji87] [emoji16] [emoji16] [emoji16]