Nini tafsiri ya hii picha?

Nini tafsiri ya hii picha?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,556
Reaction score
89,142
0d574249c29b98a145081e762f128ac3.jpg
 
akuna kukaa chini kukubhaliaana ishu kutumia nguvu tuu
 
kalamu ni nyenzo kama bunduki kwa jambazi oindi itumiwapo kuwaibia wananchi.

wizi wa kalamu
 
"Ballot not Bullet"....Huku ndiko tunakoelekea Tanzania ,baada ya leo kusikiliza hotuba ya Waziri kivuli Tundu Lissu, nchi yetu iko hatarini,nchi haiendeshwi tena kisheria...

 
Tulitumia kalamu kumpa nafasi aliyonayo lakini matokeo yake tunatishwa kwa bundiki mchana kweupee
 
Zote zina matokeo yanayofanana, inategemea na malengo ya mtumiaji.
 
kumbe mkhulu nae muislam maana wanasema waislam wanaalibu nchi
 
Wizi wa karamu ni bomba xana kwa anaeibiwa hatambui Leo,then hata kama atakuja jua muda uxhaenda watu waxhanufaika na kuweka maspy wa kumutuliza yaan namaanixha wanadiplomasia
 
Mbona sielewi hapa baada ya topic tajwa na yanayoendelea
 
Kalamu ikitumika vibaya inaweza kuleta mfarakano..

[HASHTAG]#MikatabaFekiNaMibovu[/HASHTAG]
 
Wizi wa karamu ni bomba xana kwa anaeibiwa hatambui Leo,then hata kama atakuja jua muda uxhaenda watu waxhanufaika na kuweka maspy wa kumutuliza yaan namaanixha wanadiplomasia
mkuu tumia s sio x
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom