Ni zaidi ya hicho mkuu. Jamaa alikua na ujumbe mpana zaidSanaa nyingine zinatuharibu Kabisa mm mpka leo wakisema Yesu na muwaza yule wa kwenye mapicha ya kila siku huyo alicho taka kumaanisha nazani msafari wa mitume na wanawake walikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Eiyer mimi huwa nakukubali sana kwa kazi yako humu jukwaani.Kuna mambo huwa yananisikitisha sana tena sana.....
Hii dunia ni yajabu kweli kweli.Yale mambo ambayo ni conspiracy yanaonekana ndiyo ukweli wenyewe na ukweli unaonekana ni conspiracy.Ukiangalia kwa mfano hili suala la hii inayoitwa picha ya last super,inajulikana ilichorea na mtu aliyeishi miaka mingi sana baada ya kuwepo kwa Yesu na inajulikana kabisa ni ya kubuni tu,ni kwanini watu wanaichukulia kwa namna kubwa kiasi hiki?
Mleta mada umetaka tuijadili picha hii,ni kwanini tuijadili wakati siyo kitu halisi na ni cha kubuni tu? Tena aliyebuni ni mtu tu na interest zake.Leonado da Vinci ni nani haswa hadi tuzingatie michoro yake kuhusu nyakati ambapo hakuwepo?
Ninachojua mimi huyu jamaa alikuwa ni mwanachama wa vyama vya siri na alikuwa anajua siri kadhaa ya vyama hivi na baadhi ya siri hizo aliziweka kwenye michoro yake kwa codes fulani fulani lakini hakuwa akijua lolote kuhusu maisha ya Yesu kiasi kwamba tumtilie maanani kwa kiwango hiki....
Kama tukague kile alichokuwa anakijua kuhusu haya mambo yao ya sirini hapo sawa lakini siyo kukagua michoro yake ya kubuni kama vile ni michoro halisi inayowakilisha maisha ya Yesu....
Ni kweli kwamba zamani waliabudu masanamu na kitendo hicho kilimchukiza sana Mwenyezi Mungu alichukizwa sana na kisa hiki hata kwenye kitabu cha Kutoka 34:4 amesema mimi ndiyo Mungu wenu msiabudu miungu wengine kwakua mimi Mungu wenu ni mwenye wivu.UKRISTO
ALEXANDER,THE GREAT(actually the invader/barbarian)
Alexander,The Great(the barbarian,the invader) aliivamia Kemet(Misri) mwaka 332 BC na kumuondoa mfalme(farao) na yeye kuchukua kiti cha ufalme akiwa hajui chochote kuhusu mila na desturi za Misri.
Aliwalazimisha viongozi wa “dini” iliyokuwa inaabudiwa wamkubali katika dini yao,lakini walimkatalia.Alexander mvamizi alikufa mwaka 323 BC.
Mrithi wa Alexander ,Ptolemy I au Soter(maana ya soter ni mwokozi) naye alikataliwa kuwa sehemu ya “dini” ya wamisri wa kipindi hicho lakini katika mji wa Memphis alipata baadhi ya viongozi wa dini waliosaliti na kumkubali.Walimpa jina la SERAPIS kwa kuunganisha majina Osiris na hepis.Huyu Ptelomy I ndiye aliyetibua misingi ya imani ya wamisri wa kipindi hicho.
Ptolemy I au Soter au Serapis au Christus alijipa cheo cha farao,alitengeneza sanamu ya kichwa yenye sura yake na watu wote walilazimishwa kuabudu lile sanamu.Waliomwabudu serapis walikuwa wanaitwa wakristo(neon la Kigiriki Christus)
SERAPIS 350 BC
ARIUS(256-336 A.D)
Alikuwa mmoja wa viongozi wa dini chini ya utawala wa warumi aliyepaza sauti kuwa kuabudu sanamu la serapis haikuwa sawa hivyo watu wote waache kuliabudu.
MKUTANO WA NICEA 325 A.D(the council of nicea)
Uliwakutanisha viongozi wa juu wa dini chini ya uenyekiti wa mfalme Constantine na ajenda kuu ya kwanza ilikuwa ni kumnyamazisha Arius asiendelee kueneza sumu ya kupinga kumuabudu serapis.Katika kipindi chote kulikuwa hakuna mtu anayeitwa yesu(jesus),aliyeabudiwa alikuwa ni serapis soter au mwokozi kwa Kiswahili.
MAAZIMIO YA MKUTANO WA NICEA 325 A.D
Ambapo ilitolewa “statement” ya imani ya kikristo iliandikwa na makasisi(bishops?) wa kanisa la roma wapatao 318.statement(ambayo ni kanuni ya imani kwenye kanisa katoliki la roma) inasomwa ‘nasadiki kwa mungu baba mwenyezi muumba mbingu na dunia,na kwa yesu kristo mwanae wa pekee’(hapa anaongelewa serapis sanamu).
1.Kubadilisha sanamu la serapis na kuweka la yesu
2. Kumfukuza Arius(exile) asiendelee kupinga imani ya warumi
mkuu kwa heshima kubwa niliyonayo kwako i will rest my case😉😀Ni kweli kwamba zamani waliabudu masanamu na kitendo hicho kilimchukiza sana Mwenyezi Mungu alichukizwa sana na kisa hiki hata kwenye kitabu cha Kutoka 34:4 amesema mimi ndiyo Mungu wenu msiabudu miungu wengine kwakua mimi Mungu wenu ni mwenye wivu.
Ni kweli Alexandre the Great alitaka kutawala dunia na aliiteka India yote na kitu alichofanikiwa katika utawala wake ni kuchanganya mila ki-Giriki na za mataifa aliyoyateka.
Roman Empire ilikuwa ikiabudu masanamu. Wafuasi wa kwanza wa Yesu Krusto ambao ndiyo wakristu wa kwanza walikuwa mitume wake 12 pamoja na mama yake. Hawa walipigwa vita sana Israel na walikimbilia Siria. Petro ambae aliachwa kuwa mwamba wa kanisa alikufa kwa kusulubiwa na wa Rumi kama Yesu na aliomba wamsulubu kichwa chini kwani hawezi kujilinganisha na Yesu ambae ni mtakatifu sana kwake.
Mkuu so do I.mkuu kwa heshima kubwa niliyonayo kwako i will rest my case😉😀
memorandum of understanding (MoU)😉Mkuu so do I.