Wadau naombamaoni yenu mi niko mbeya ila tbc na star imekuwa hadithi wengine wanasema frequency zpo chin wengine wanasema mfumo umebadilika samahan naomba msaada ktk hili*
Wadau naombamaoni yenu mi niko mbeya ila tbc na star imekuwa hadithi wengine wanasema frequency zpo chin wengine wanasema mfumo umebadilika samahan naomba msaada ktk hili*
Signal zake kwa sasa bado zipo chini hivyo madishi madogo yanashika kwa tabu au unaweza usipate kabisa.Solution ni kuwa mvumilivu mpaka signal zitakapokuwa na nguvu nadhani wahusika wanafahamu tatizo hilo
Mbona Star tv iko sawa kuanzia tarehe 26 ina nguvu sana signal qualty yake imepanda kwa wale wenye decoder za mediacom930 ile bar ya kijani iko asilimia 75 toka asilimia 30 ilipokuwa hapo awali kwenye ungo wa futi 6.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.