Nini solution ya hili? Kudumu kwenye ndoa

he nguruwe tena..!!
ha ha ha inaonyesha umezila ndoa ww.
vipi yalikukuta nini..?
Mapenzini sikuhizi kumekuwa kama ukoo wa Kambare, Hajulikani Baba Nani wala Mama nani, Woote wana ndevu
 
Mapenzini sikuhizi kumekuwa kama ukoo wa Kambare, Hajulikani Baba Nani wala Mama nani, Woote wana ndevu
ha ha ha..
tuishi kama yalivyo au unaonaje
 
nini solution ya hili..?
Inategemea mtu na mtu. Huwezi kupata solution moja kwa watu wote. Ndio maana wakati wengine ndoa zao zinadumu miezi miwili wenzao miaka kumi na bado wanaendelea, kizazi hiki hiki.
 
Msisahau pia wanawake ni binadamu..
Biblia imeongea very clear Mwanaume ni kichwa cha familia lakini heshima tu ndo inamfanya awe kichwa cha familia?
Endapo mume anashindwa kuisimamia familia yake,kuheshimu ndoa yake,kumthamini na kumjali mke wake pamoja na watoto wake bado hiyo familia itasimama?
Kichwa cha familia ni wewe kusimamia familia yako kwa kuilinda katika maombi na kuiongoza ili iwe imara..
 
Ubarikiwe mnoooooo
 
Ndoa nyingi kwa sasa zimejaa usaliti..
Wanaume wengi wameona kuchepuka ni fashion na wanawake nao wakishindwa kuvumilia kusalitiwa nao hulipiza kisasi..
Vitu hivi hupelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi sana..
Kama kila mtu akijua ndoa ni wito na kila unayepewa kuwa mwenza wako si mkamilifu ana mapungufu yake..utambeba kwa nyakati zote kwa maombi..
Hofu ya Mungu ni muhimu sana kwenye ndoa..
Vishawishi ni vingi mno..
Ila once u know ua committed not only to God's vows but also to ua wife/hubby nothing can tempt u..
 
Umesahau na mke anatakiwa kuheshimiwa
 
Umeongea jambo zuri sana
 
-Kupendana
-kuamınıana
-kuvumılıana
-kuheshımıana

Hıyo ndıo mısıngı mıkuu mınne ınayojenga ndoa ımara
 
Wanawake wa generation yetu wako exposed mno, may be more than they should be. Tupo sawa karibu kila kitu kasoro maumbile tu

Wanaume pia kuna tatizo la immaturity. Mtu anaoa akiwa na expectations nyingi sana kutoka kwa mwanamke kama kwenye muvi vile. Ndio maana tunasikia wengine wananuna, wengine wanaamua kuzichapa na wake zao... Immaturity
 
Wazee wetu hawakuwa na simu,ikifika usiku ni yeye na mkewe tu,sasa siku hizi usiku na smartphone lazima ugomvi utokee
 
Ni hivi, unakuta mwanaume anajitoa kwa kila kitu ili familia yake i sustain lakini mwanamke anakua kikwazo. Mfano mwanaume anamhudumia mke wake kwa kila kitu na watoto pia, halafu unasikia mwanamke anatembea mchunga ng'ombe au muuza mkaa ambaye huwapitishia mkaa hapo nyumbani. Hapa inakuaje? Au utasiki kila siku nimechoka nimechoka, unamnunulia gari la kuendea kazini, housegirl yupo na kazi zingine zote unampunguzia bado kila siku anasema amechoka kufanya sex! Hapa kwa wanaume waliowengi hutafuta nyumba ndogo ili asikusunbue kila siku. Utashangaa wiki mbili kimya!
 
Wazee wetu hawakuwa na simu,ikifika usiku ni yeye na mkewe tu,sasa siku hizi usiku na smartphone lazima ugomvi utokee
Duh! Kumbe zamani ilikuwa ni patashika nguo kuchanika, ndo maana sahivi kuna high population...
 
solution ni wewe mwenyewe mwenye mahusiano tu no more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…