bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,667
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.
Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.
Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.
Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.
Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.