zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,775
- 41,266
Nashangazwa kwamba hampendi kusoma mnasubiri kukaririshwa utaskia wanapinga kila kitu mkiulizwa bajeti kivuli ina mambo mangapi imepinga bajeti ya serikali kuu mnabaki kimyaumeshangazwa vipi wakati ndio ukweli..jua hivyo tuu..mezaa
Haya mnasema hawana sera ukiulizwa ilani ya ukawa Umesoma unabaki kutoa macho!!
Mnasema agenda ya ufisadi imeachwa ila mkiulizwa mmeshasoma hotuba ya waziri kivuli kuhusu nishati na madini juu ya ufisadi kwenye uagizaji mafuta mnabaki mnaduwaa.....
Acheni kukariri jifunzeni kusoma