Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
Habari wakuu,
Mimi ni mtanzania wa kawaida sema mwenye uchu na dhamira ya kujifunza ningependa kuelezwa sera ya CHADEMA 2015-2020 kwani nimekuwa nikiyumbishwa na matamko yanayotokana na matukio tu ambayo yanasahaulika baada ya muda mfupi.