jamaikatz JF-Expert Member Joined Jul 11, 2023 Posts 395 Reaction score 1,398 Jan 1, 2026 #1 Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ????
Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ????
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 60,539 Reaction score 175,275 Jan 1, 2026 #2 Nikukaa Jana sijalewa Ila now nipo okey bwashee ๐
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 20,876 Reaction score 77,114 Jan 1, 2026 #3 Roho mbaya.. Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua. Jichunguze pia!
Roho mbaya.. Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua. Jichunguze pia!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 60,539 Reaction score 175,275 Jan 1, 2026 #4 ephen_ said: Roho mbaya.. Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua. Jichunguze pia! Click to expand... Mhmm mbona hauna roho mbaya
ephen_ said: Roho mbaya.. Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua. Jichunguze pia! Click to expand... Mhmm mbona hauna roho mbaya
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,964 Reaction score 9,794 Jan 2, 2026 #5 jamaikatz said: Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ???? Click to expand... Inasababishwa pia na watu waliokuzunguka binadam tunamambo mengi kule kujitenga nao kunaleta upweke Mahusiano pia yanaleta upweke Kwa kias Fulani
jamaikatz said: Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani tuweze kuondokana na upweke ???? Click to expand... Inasababishwa pia na watu waliokuzunguka binadam tunamambo mengi kule kujitenga nao kunaleta upweke Mahusiano pia yanaleta upweke Kwa kias Fulani
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 20,876 Reaction score 77,114 Jan 2, 2026 #6 min -me said: Mhmm mbona hauna roho mbaya Click to expand... Jaribu uone๐
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 60,539 Reaction score 175,275 Jan 2, 2026 #7 ephen_ said: Jaribu uone๐ Click to expand... ๐
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,526 Reaction score 76,459 Jan 2, 2026 #8 ephen_ said: Roho mbaya.. Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua. Jichunguze pia! Click to expand... ๐๐๐
ephen_ said: Roho mbaya.. Nilisumbuliwa sana na upweke nikajichunguza nikagundua roho mbaya ndio inanisumbua. Jichunguze pia! Click to expand... ๐๐๐
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,156 Reaction score 4,332 Jan 2, 2026 #9 Muwe mnakuja kijiweni hapa story ni nyingi sana kucheka kwingi utani mwingi na kesho ivo ivo huku tukijadili hatima ya Taifa
Muwe mnakuja kijiweni hapa story ni nyingi sana kucheka kwingi utani mwingi na kesho ivo ivo huku tukijadili hatima ya Taifa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,393 Reaction score 196,140 Jan 12, 2026 #10 Poleni sana... Cc: Mahondaw