Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #21
Sawa,kwanini hawa jamaa wasio CCM,wanaogopa kukemea?

Kwani namzungumzia bibi yako hapo ... mpaka useme nijikite kwenye hoja. Kongamano la wastaafu linawaongezea wao kwa raia kama nyinyi wa miemko... mna njaa alafu mna viburi.mbona unalia lia kijana?...jikite kwenye hoja kwanini wanakwepa makongamano?
Wakikemea inamsaidia nani... kama wewe ni shabiki la ccm wakikemea inakusaidia nin wewe kada??Sawa,kwanini hawa jamaa wasio CCM,wanaogopa kukemea?
kwanini jpm hakwenda bukoba ??na kwann jpm hakwenda simiyu kumuenzi baba wa taifaNini Sababu za Mbowe na Lowassa kukwepa kongamano kumbukumbu ya Mwl.Nyerere?
Haijawahi kutokea kwenu ninyi kuonekana mkishiriki makongamano na midahalo ya wazi yenye kuzungumzia masuala ya utaifa na nchi kwa ujumla. Mara kwa mara Taasisi ya Mwalimu Nyerere imekuwa ikiandaa mada na hoja zenye kubeba changamoto za utaifa hususani maadili,miiko ya uongozi na vita dhidi ya rushwa. Mara kadhaa vingozi wastaafu kama Jaji Warioba, Dr.Salim, Mzee Butiku nk. Wamekuwa wazungumzaji wakubwa kwenye mada hizo.
Mbowe kama KUB amekuwa kimya kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Lowassa kwa upande wake hata kwenye kampeni za uraisi mwaka jana hakuwahi kuongelea mikakati yake kudhibiti maadili ya uongozi na vita dhidi ya rushwa. Kinachoshangaza ni kuwa duniani kote vinara wa upinzani ndio huibana serikali na viongozi wa umma kuhusu masuala ya rushwa ila hapa kwetu angalau chama cha ACT-Wazalendo kwa siku za karibuni wameonyesha njia.
Ninaomba tujadili haya kwa mapana kwani hawa ni viongozi wetu, kama watakwepa kuzungumza na kukemea matatizo ya nchi yetu kupitia makongamano kama hili ya Mwl.Nyerere inatia shaka
Je ni kweli hawana cha kuzungumza jinsi gani Taifa letu linaweza kupiga hatua kwa kupiga vita rushwa na kzingatia maadili ya viongozi wa umma?
Je nao ni miongozi mwa tatizo katika jamii yetu hususan katika vita dhidi ya maadili mabovu,rushwa na ubadhirifu wa mali za umma?
unalia badala ya kujenga hoja....kwanini 'mstaafu' Lowassa kakimbia kongamano?Kwani namzungumzia bibi yako hapo ... mpaka useme nijikite kwenye hoja. Kongamano la wastaafu linawaongezea wao kwa raia kama nyinyi wa miemko... mna njaa alafu mna viburi.
unayumba kama mlevi....jikite kwenye mada.Walikuwa kwa watindiga, huko hutakiwi kwenda na kamera, wamejadili vya kutosha kabisa.
Ushapata jawabu tuhamie kwa JPM Mwigulu Kigwagwala na Makondya sasa.
TWENDE KAZI.
======UPDATE======
Kwanini JMP aliwakacha mabalozi pale ikulu
unayumba kama mlevi....jikite kwenye mada.
alikataa,sababu ni kongamano la wote.Alialikwa?
alikataa,sababu ni kongamano la wote.
Hiyo ina uzi wake dogo...jikite kwenye mada!
Unataka kusema viongozi hao waje kujadili ujinga uliopitiliza,maradhi tena ya ajabu,kunuka umasikini n.k yanayosababishwa na ccm????Nini Sababu za Mbowe na Lowassa kukwepa kongamano kumbukumbu ya Mwl.Nyerere?
Haijawahi kutokea kwenu ninyi kuonekana mkishiriki makongamano na midahalo ya wazi yenye kuzungumzia masuala ya utaifa na nchi kwa ujumla. Mara kwa mara Taasisi ya Mwalimu Nyerere imekuwa ikiandaa mada na hoja zenye kubeba changamoto za utaifa hususani maadili,miiko ya uongozi na vita dhidi ya rushwa. Mara kadhaa vingozi wastaafu kama Jaji Warioba, Dr.Salim, Mzee Butiku nk. Wamekuwa wazungumzaji wakubwa kwenye mada hizo.
Mbowe kama KUB amekuwa kimya kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Lowassa kwa upande wake hata kwenye kampeni za uraisi mwaka jana hakuwahi kuongelea mikakati yake kudhibiti maadili ya uongozi na vita dhidi ya rushwa. Kinachoshangaza ni kuwa duniani kote vinara wa upinzani ndio huibana serikali na viongozi wa umma kuhusu masuala ya rushwa ila hapa kwetu angalau chama cha ACT-Wazalendo kwa siku za karibuni wameonyesha njia.
Ninaomba tujadili haya kwa mapana kwani hawa ni viongozi wetu, kama watakwepa kuzungumza na kukemea matatizo ya nchi yetu kupitia makongamano kama hili ya Mwl.Nyerere inatia shaka
Je ni kweli hawana cha kuzungumza jinsi gani Taifa letu linaweza kupiga hatua kwa kupiga vita rushwa na kzingatia maadili ya viongozi wa umma?
Je nao ni miongozi mwa tatizo katika jamii yetu hususan katika vita dhidi ya maadili mabovu,rushwa na ubadhirifu wa mali za umma?
Dah, umenichekesha!Wanaogopa viboko 12 wakati wa kingia kwenye kongamano 12 wakati wa kutoka ili wakawaonyeshe.....
Nini Sababu za Mbowe na Lowassa kukwepa kongamano kumbukumbu ya Mwl.Nyerere?