Nini sababu za kumkinai mwanamke?

Nini sababu za kumkinai mwanamke?

duh...wadau wapi mpo!!! wahanga wengi humu!!!!
 
chakula kilekile kinakinahiii, walau kubadilisha mapiko, kama ni chapati basi choma vizuri kotekote, jioni chemsha boga na chumvi kiasi siku zinakwenda bila kuchoka mlo
 
Wakuu nimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati jibu. Nimekuwa na hulka ya kupoteza hisia za kupenda jinsi ninavyozidi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa mda mrefu na mwanamke. Hapa simaanishi ku-make love, namaanisha upendo (maana tasfiri yake ni pana zaidi ya tendo hilo). Kwa maana hiyo, nimeshawishika kutafuta relation mpya nyingi kwa wakati tofautitofauti ambazo mara zote mwanzoni malavidavi yanakuwa juu ila muda ukizidi kwenda napoteza hisia hizo. Je hali hii ipo pia kwa wanaume wenzangu? Je ni nini suluhisho lake? maana kubadilisha nimeona sio suluhisho bali ni kuongeza tu idadi!

Pole sana mkuu.... ngoja wataalamu wa Saikolojia wakuje!!!
 
Vipi umewauliza kama na wao huwa wanakukinai?

Mkuu think deep! ushamkinai mtu how would you get the guts to ask such as question? You are in irrevisible situation yo cant go back.
 
Vipi umewauliza kama na wao huwa wanakukinai?

Mkuu think deep! ushamkinai mtu how would you get the guts to ask such as question? You are in irrevisible situation you cant go back.
 
tafuta romantic ideas funny and sexy game za kucheza nae itakuwa poa n u wil keep her 4gud
 
Kaka hao mademu wanaoponda na kutoa vitisho akili zao ni mbovu tna sana wanadhani wanaweza kuwa Malkia wa Mapenzi milele!ss ukweli ni huu hiyo hali watu(wanaume) na wanawake wengi wanayo duniani kote na had ss pyschologist wengi wamefanyia utafiti na baadhi yao kuja na matokeo kwa kuwalinganisha binadamu na magoriLa au nyani kwamba "gorilla mwanaume anaweza fanya sex muda wowote na mwanamke yeyote kwakuwa wanauwezo huo ,akafananisha kwa mfano wa mfuko wa mbegu 'korodan' kwa wote uko nje hii inamaana having extra container of bear so u can party at any time,vlevle kwa wanawake anauwezo wa kufanya zaid ya asilimia 90 katika mzunguko kwa mwezi! Vilevile Lazima ikumbukwe mutlirelatioship ni asili ya bianadamu na monogamy ni mfumo tu ulioumbwa na kuigwa nabinadamu that's y huwa tunajisikia hvyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huwakuta wengi ila tafuta romantic ideas funny and sexy game ma za kucheza nae itakuwa poa n u wil keep her 4gud out and indoor ideas pindi unapokuwa nae n believe ita work n it wil coz imesaidia wengi
 
Love is patient
Love is kind
Love is generous
Love overcome obstacles
Love overcome boredom
 
Wakuu nimekuwa nikijiuliza swali hili lakini sipati jibu. Nimekuwa na hulka ya kupoteza hisia za kupenda jinsi ninavyozidi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa mda mrefu na mwanamke. Hapa simaanishi ku-make love, namaanisha upendo (maana tasfiri yake ni pana zaidi ya tendo hilo). Kwa maana hiyo, nimeshawishika kutafuta relation mpya nyingi kwa wakati tofautitofauti ambazo mara zote mwanzoni malavidavi yanakuwa juu ila muda ukizidi kwenda napoteza hisia hizo. Je hali hii ipo pia kwa wanaume wenzangu? Je ni nini suluhisho lake? maana kubadilisha nimeona sio suluhisho bali ni kuongeza tu idadi!

Love is composed of a single soul inhabiting two bodies, know your interests and find your MATCHING soul mate.
good-luck.

jamani kinababa kwa nini ujihisi wewe ndo unarun relationship kwa nini usiwaze other way kwamba na wewe amekukinai ila anakumbuka ahadi zenu na upendo wenu wa mwanzo anakuvumilia tu?think positivu
 
Jitahidi kutafuta mtu ambaye utaendana nae maana inaonekana unakua na watu ambao
baadae wanachuja na inaleta shida kwako,ni hali tu ya kawaida
 
Yaelekea ww unapenda kitu na si mtu na hicho kitu kikishaondoka yaaani ukishakipata na ukakitumia kinakukinaisha na ndio maana unakinai mapema na kutafuta kingine. Ushauri wangu jitahidi sana kupenda mtu kama alivyo na si kitu kwani vitu vitabadilika lkn mtu atabakia yuleyule kwa maisha yake yote na hapo ndio utaweza kuyafurahia maisha
 
Back
Top Bottom