Nini sababu za kumkinai mwanamke?

Nini sababu za kumkinai mwanamke?

Mi nadhani kwamba kinachomfanya mtu amchoke mwenzake ni matendo. Mkishakaa muda mrefu, lazima mmoja wenu anaanza kuchukulia mapenzi kimzaha! Mfano, kauli zake zinabadilika, anaanza ku command badala ya kuwa mnyenyekevu. Mfano, wanawake akishakuwa nawe basi ndo anabweteka sana! Mbona sisi wanaume hatusahau majukum yetu? Pumbaf nyie
 
Back
Top Bottom