Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,100
Magumashi tu, huu ndio ujinga mliokaririshwa na waarabu na wazungu ni upuuzi usio na mfano.Hamia huko then usubilie malipo yako baada ya kuiacha dunia hii tuliopo
Magumashi tu, huu ndio ujinga mliokaririshwa na waarabu na wazungu ni upuuzi usio na mfano.Hamia huko then usubilie malipo yako baada ya kuiacha dunia hii tuliopo
Kama uonavyo leo marekani ni super power basi huko nyuma walikua ma'super power kama leo umuonavyo marekani! Kuna jeshi la farao enzi hizo! Ilikua hattary sana! Halafu jeshi la kirumi walikua untouchble! Sasa kila zama na zama zake! Litakuja super power mwingine zaidi ya marekani! Maana nyakati hubadilila!!!WanaJF, kwa imani yangu ya kikristo Marekani ndio mtawala wa mwisho wa dunia hii, naamini hakuna taifa lingine litakaloiangusha Marekani kwa vita au njia yoyote ile mpaka siku ya kiama kutokana na utabiri wa biblia na kama kuna mtu abishaye adhihirishe kwa kutueleza sababu za dunia nzima kufuatilia na kutikiswa na matukio ya Marekani.
Nawasilisha wakuu.
Basi kuanzia leo tembea uchi na uishi maisha kama watu wa zamani!! Kulala porini na kadhalika! Wala ushichelewe!!Katika kitu walifanikiwa hawa wazungu na Waarabu ni kutuletea huu usanii wao wa dini. Huwa siungi mkono misimamo ya North Korea lakini kuipiga marufuku Biblia nchini kwao ni uwamuzi wa busara sana ambao mtu yeyote mwenye akili za kitumwa kutoka Magharibu na kwa waarabu kamwe hawezi kuitambuwa busara hii ya North KOREA.
Mkuu CH4 has high global warming potential itself.
Pia CH4 ikiburn inatoa nini kwani???
Unajua chemical equation ya combustion ya CH4?
mkuu hebu tuweke hisia pembeni hivi ukiambiwa utaje mataifa makubwa kwenye nyanja za kijeshi marekani utaiacha kando?Naona ni taifa kubwa kwa propaganda ila siyo kivita. Walichogundua wamarekani ni kuwa walichojivunia navyo vyote siku hizi aidha Urusi au Uchina anavyo. Pili, Uchina ina population kubwa na ni advantage kwao na hivyo lazima wawe na jeshi kubwa. Kinachosubiriwa ni pambano ili wajue ni yupi Sungura mjanja.
Kwa iyo waliofika university ndio huwa wanaandika kama wewe hivi!!?...Basi hivi vyuo ni majanga matupu aisee...Leo wikend tunahitaji kuturiza kichwa,hizi post zingine za dalasa LA 2,unatupunguzia mb zetu bwana.kwa sasa USA ni ya kawaida tu kiuchumi hata kivita ndio maana bwana trump kaulimbiu yake to make USA greater again
Embu nitajie taifa kubwa kuliko US kiuchumi na ki jeshi kwa sasa?...Uweke na source please.Mtoa mada jaribu kuangalia vituo vya television tofauti tofauti usiangalie ITV,Clouds TV pekee kaka utaishia hapo ulipoona ndo mwisho Wa uelewa wako kuna mataifa makubwa zaidi ya USA na yapo vizuri kiuchumi na military bases
Acha kutoa mapovu kijinga bila kutumia akili...Toka enzi na enzi hakuna hata siku moja mrusi ashawahi kumuabudu mmarekani na wala haitakuja kutokea hata kwa china ..Lakini kwa miaka yote hiyo toka kuvunjika kwa USSR marekani amebaki kuwa super power mpaka sasa na hata Putin alishakiri hilo kwenye moja ya mahojiano na waandishi wa habari...Na ukisema mmarekani amemshindwa urusi sijui unamaanisha nini,maana sijaona vita ya nchi hizi mbili siku za karibuni hadi useme mrusi amemshinda marekani....Naiheshimi sana urusi kwa uwezo wake wa kijeshi na kujaribu kutafta balance of power,i respect that...But hii haiwez kufuta ukweli ambao hata Putin anaufahamu kwamba endapo ikitokea conventional war kati ya urusi na marekani,urusi inabid ashinde vita hiyo kwa muda mfupi sana yaani ndani ya mwaka au miezi kadhaa,kitu ambacho ni ndoto kutokea.. Hiii ni kutokana na ukweli kwamba russia hana uwezo wa kusimama convesional war na US kwa mda wa miaka mi 5 au 10 bila ya urusi kusambaratika kiuchumi...Russia ana uwezo kijeshi sana but hana uwezo wa kupigana na marekani vita miaka mingi mfululizo sababu she has a weak economy...Hilo hata Putin anafahamu ndio weakness kubwa kwa Russia.Mmarekani amemshindwa mrusi hadi amekimbilia NATO... Suala la Russia kutokumtii marekani linawaumiza vichwa sana Marekani kwa sababu wamezoea kuabudiwa
Bux gah buh gah rahNi kondoo mwenye pembe za mbuzi [emoji773] [emoji773] [emoji773] [emoji773] [emoji773] [emoji773] [emoji773]
Kama yapi?Mtoa mada jaribu kuangalia vituo vya television tofauti tofauti usiangalie ITV,Clouds TV pekee kaka utaishia hapo ulipoona ndo mwisho Wa uelewa wako kuna mataifa makubwa zaidi ya USA na yapo vizuri kiuchumi na military bases
Uingereza alishaangushwa na mmarekani mwaka 1945kuna taifa kubwa litaangushwa na hapo dunia nd itakuwa mwisho.
True Russia wako vizuri lakini uchumi wao hauko vizuri kama marekaniAcha kutoa mapovu kijinga bila kutumia akili...Toka enzi na enzi hakuna hata siku moja mrusi ashawahi kumuabudu mmarekani na wala haitakuja kutokea hata kwa china ..Lakini kwa miaka yote hiyo toka kuvunjika kwa USSR marekani amebaki kuwa super power mpaka sasa na hata Putin alishakiri hilo kwenye moja ya mahojiano na waandishi wa habari...Na ukisema mmarekani amemshindwa urusi sijui unamaanisha nini,maana sijaona vita ya nchi hizi mbili siku za karibuni hadi useme mrusi amemshinda marekani....Naiheshimi sana urusi kwa uwezo wake wa kijeshi na kujaribu kutafta balance of power,i respect that...But hii haiwez kufuta ukweli ambao hata Putin anaufahamu kwamba endapo ikitokea conventional war kati ya urusi na marekani,urusi inabid ashinde vita hiyo kwa muda mfupi sana yaani ndani ya mwaka au miezi kadhaa,kitu ambacho ni ndoto kutokea.. Hiii ni kutokana na ukweli kwamba russia hana uwezo wa kusimama convesional war na US kwa mda wa miaka mi 5 au 10 bila ya urusi kusambaratika kiuchumi...Russia ana uwezo kijeshi sana but hana uwezo wa kupigana na marekani vita miaka mingi mfululizo sababu she has a weak economy...Hilo hata Putin anafahamu ndio weakness kubwa kwa Russia.
Kwahiyo Roho wako mtakatifu amekuambia kuwa hizo ndoto na kingdoms maana yake Marekani??Biblia imeandikwa kwa mafumbo sababu wokovu si lelemama, ni hazina iliyositirika sana yeye achimbaye sana ndiye atakayeiona. Daniel 2:1-45