Nini sababu ya dunia nzima kutikiswa na Marekani?

Nini sababu ya dunia nzima kutikiswa na Marekani?

kuna taifa kubwa litaangushwa na hapo dunia nd itakuwa mwisho.
kufa kwako ndio mwisho wako, hizo stori nyingine ni shamra shamra tu katika kusherehesha tafrija ya maisha yetu hapa duniani.
 
kufa kwako ndio mwisho wako, hizo stori nyingine ni shamra shamra tu katika kusherehesha tafrija ya maisha yetu hapa duniani.
Baada ya kifo hujui kama kuna lolote ? Na kama hujui kuna ufufuo ambao ni kufurahi au kuhuzunika
 
moja ya vitu ambavyo sivifuatiliagi ni huu u.puuzi
 
Someni kitabu chote cha Ufunuo wa Yohana, kuna sehemu mtaona ukweli kuhusu Marekani, angalizo, Biblia siyo kitabu cha hadithi, kuielewa unatakiwa uwe na hekima ya Ki Mungu, na siyo Upu*mbavu wa ki ccm hapo hutajua lolote.
Hiyo lugha yako tu. ..dah. .hakika watu watavuna wanayoyapanda! Hiyo ndiyo dini kamilifu. ..
 
hao wazung unaowaamin wao wanaamin ipo siku dunia itaisha ila wameingiliana kipi kitakuwa hasa sababu.
 
Katika kitu walifanikiwa hawa wazungu na Waarabu ni kutuletea huu usanii wao wa dini. Huwa siungi mkono misimamo ya North Korea lakini kuipiga marufuku Biblia nchini kwao ni uwamuzi wa busara sana ambao mtu yeyote mwenye akili za kitumwa kutoka Magharibu na kwa waarabu kamwe hawezi kuitambuwa busara hii ya North KOREA.
 
WanaJF, kwa imani yangu ya kikristo Marekani ndio mtawala wa mwisho wa dunia hii, naamini hakuna taifa lingine litakaloiangusha Marekani kwa vita au njia yoyote ile mpaka siku ya kiama kutokana na utabiri wa biblia na kama kuna mtu abishaye adhihirishe kwa kutueleza sababu za dunia nzima kufuatilia na kutikiswa na matukio ya Marekani.

Nawasilisha wakuu.
Weka mistari ya hiyo bible yako kwanza........
 
Kwenye biblia hakuna kitu kama iko ...labda kama trump kaandika biblia yake....njoo Na uthibitisho
 
Weka mistari ya hiyo bible yako kwanza........
Biblia imeandikwa kwa mafumbo sababu wokovu si lelemama, ni hazina iliyositirika sana yeye achimbaye sana ndiye atakayeiona. Daniel 2:1-45
 
Someni kitabu chote cha Ufunuo wa Yohana, kuna sehemu mtaona ukweli kuhusu Marekani, angalizo, Biblia siyo kitabu cha hadithi, kuielewa unatakiwa uwe na hekima ya Ki Mungu, na siyo Upu*mbavu wa ki ccm hapo hutajua lolote.

Nitake radhi mkuu kunifananisha na ccm.
Pili ungenijibu kwa kunielewesha ili nielimike. Kwani hata wewe unafikiri unajua kumbe hujui ila unajifunza. busata ni bora kuliko ujinga.
 
Mkuu hongera kwa university

Kuna watu wanamaneno ya shombo sana kwani kuna mtu kamlazimisha kuufungua uzi na ku comment? Watu wwngine hawana busara kabisa nishaanza kuamini utafiti wa TWAWEZA
 
Someni kitabu chote cha Ufunuo wa Yohana, kuna sehemu mtaona ukweli kuhusu Marekani, angalizo, Biblia siyo kitabu cha hadithi, kuielewa unatakiwa uwe na hekima ya Ki Mungu, na siyo Upu*mbavu wa ki ccm hapo hutajua lolote.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti upumbavu wa kiccm utakuwa unatafuta Lizabon akung'oe kucha wewe huwezi kukiponda chama chake pendwa
 
Mtoa mada jaribu kuangalia vituo vya television tofauti tofauti usiangalie ITV,Clouds TV pekee kaka utaishia hapo ulipoona ndo mwisho Wa uelewa wako kuna mataifa makubwa zaidi ya USA na yapo vizuri kiuchumi na military bases

Taja Matano mkuu maana hilo povu daah!
 
Katika kitu walifanikiwa hawa wazungu na Waarabu ni kutuletea huu usanii wao wa dini. Huwa siungi mkono misimamo ya North Korea lakini kuipiga marufuku Biblia nchini kwao ni uwamuzi wa busara sana ambao mtu yeyote mwenye akili za kitumwa kutoka Magharibu na kwa waarabu kamwe hawezi kuitambuwa busara hii ya North KOREA.
Hamia huko then usubilie malipo yako baada ya kuiacha dunia hii tuliopo
 
Nitake radhi mkuu kunifananisha na ccm.
Pili ungenijibu kwa kunielewesha ili nielimike. Kwani hata wewe unafikiri unajua kumbe hujui ila unajifunza. busata ni bora kuliko ujinga.

Jaman kwani kufananishwa na CCM nitusi? Amakweli maisha yanakwenda kasi sana miaka ya 80 tulikuwa tunaimba CCM kwenye mchakamchaka na kwenye haraiki shuleni leo hii ukifananishwa na CCM unataka kurusha ngumi?[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji15] [emoji28] [emoji28]
 
to flare doesn't necessarily means its unclean energy issue ni kuwa natural gas does not emit cobondioxide molecules

Mkuu CH4 has high global warming potential itself.
Pia CH4 ikiburn inatoa nini kwani???
Unajua chemical equation ya combustion ya CH4?
 
Back
Top Bottom