Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Yaani huwa mpaka wanakera....mimi huwa nawaita wanaishi kwenye historia. ooh nilikuwa wapi sijui...i did blah blah...akitoka hapo anahamia kwa ndugu zake, my dad this...my mom that.....awe amekabidhiwa na accent inayosikilizika ndio kabisaaa....aarghh..

Kina dada ama tunasikia mengi! Na hapa ndio tunapochuzika, wengine hizo blah blah zinawaingiza mkenge, mwenye kuona mbali anajisemea..mmh hapa sipo!
 
Si kila demu anataka janaume pole!! Cha kwanza unatakiwa ujue huyo demu unamwitaji kwa ajiri gani, je ni 1 night stand or for two weeks or wakuchapa unapohitaji au una nia ya ku build life time relatioship!!

Ukijua unamuhitaji kwa sababu na mipango gani then itakuwa rahisi kwako ku strategise. Mfano, unaenda na demu out ambaye una nia ya kumchapa tu na kummwaga, na unaona kabisa anapenda matawi ya juu, jifanye mshua na huna shida ndogo ndogo!! Ikibidi kama anaki starlet mwahidi utamnunulia RAV 4 - 3 doors, mpeleke mbali na kwao kwenye kiwanja cha maana, mle raha mpaka late night, afu jifanye huwezi drive coz its too late!! Mchezo utakuwa umeisha, utalamba asali na kutambaa!!

Kama ni demu unaye intend ku build long time relationship, strategy itakuwa tofauti kulingana na aina ya demu na social class yake!!!

Wengine tulishawahi kwenda mpaka kwa Mwakasege Biafra kwenye mahubiri ili mradi tu tung'oe mzigo!!! Wadau its not necessary that you should be yourself when you need a cute chick!!

You be youself you lose her!! So be strategic
 
Epuka maongezi yanayolenga ngono direct, jaribu kuwa na maongezi yanayolenga utambulisho... kujua vitu anavyopenda na asivyopenda.... background...with little jokes as well....
 
Epuka maongezi yanayolenga ngono direct, jaribu kuwa na maongezi yanayolenga utambulisho... kujua vitu anavyopenda na asivyopenda.... background...with little jokes as well....

Heh.. sasa kama mie nataka hiyo ndito yake nijifanye siitaki na tayari nimeona mchangiaji akisema be yourself??

Hebu toa ushauri kidogo
 
Nguli please msaada wako hapa unahitajika!

1. Learn her interest,
2. Msifie pale panapohitajika,
3. Kama wewe ni mnywaji na yeye sio mnywaji kunywa kiasi/kidogo
4. Ucheshi muhimu asifikirie wewe zombie/dumb,
5. Kama unamwihitaji kama mke muulize maswali yatakayokuonyesha vision yake.
6. Vizuri uje anapenda nini na nini hapendi kadri mazungumzo yanavyoendelea.
 
Yooote hapo nakubaliana na wewe mpwa, ila hapo kwenye red hapo! Dah! Nadhani yatahitajika maombi! Ni heri niachane na binti kuliko kuachana na serengeti!
 
Yooote hapo nakubaliana na wewe mpwa, ila hapo kwenye red hapo! Dah! Nadhani yatahitajika maombi! Ni heri niachane na binti kuliko kuachana na serengeti!

Sijasema uache upate kiasi ukizidisha mpaka ukashindwa kukwaa tukutuku kurudi home siitakuwa balaa ukizangita breki zinaweza kuwa hafifu?
 
Sijasema uache upate kiasi ukizidisha mpaka ukashindwa kukwaa tukutuku kurudi home siitakuwa balaa ukizangita breki zinaweza kuwa hafifu?

Hahaha! tukutuku likikosa breki halafu nyumba ikakosekana tutaenda kusimamia Kimara na mgonjwa wetu. Hahaha!
 
Hahaha! tukutuku likikosa breki halafu nyumba ikakosekana tutaenda kusimamia Kimara na mgonjwa wetu. Hahaha!

Wala hii tabsamu yako niliyoizoea sitaiona tena, utapotelea chini ya FUSO.

6663d1258366271-nini-nisifanye-nikiwa-outing-kwa-mara-ya-kwanza-picture13.jpg
 
Wala hii tabsamu yako niliyoizoea sitaiona tena, utapotelea chini ya FUSO.

6663d1258366271-nini-nisifanye-nikiwa-outing-kwa-mara-ya-kwanza-picture13.jpg

Hahaha! Hiyo niliipiga baada ya kubugia mbege sadolini nzima. Hapo nilikuwa sijamtoa outing huyu mama kabinti kangu.
 
1. Learn her interest,
2. Msifie pale panapohitajika,
3. Kama wewe ni mnywaji na yeye sio mnywaji kunywa kiasi/kidogo
4. Ucheshi muhimu asifikirie wewe zombie/dumb,
5. Kama unamwihitaji kama mke muulize maswali yatakayokuonyesha vision yake.
6. Vizuri uje anapenda nini na nini hapendi kadri mazungumzo yanavyoendelea.

I need more from you! wachunguzi wa mambo wanasema wewe huwa unauwa siku hiyo hiyo! uzoefu wako muhimu
 
I need more from you! wachunguzi wa mabo wanasema wewe huwa unauwa siku hiyo hiyo! uzoefu wako muhimu

Ngoja nimdipu mpwa fidel akupe siri ya mafanikio. Mpwa wangu masaa mawili mchezo kwisha!
 
Wadada michango please, nitakuja na version ya wanaume tunapenda nini! Siku ya kwanza tu demu anaomba atumie simu yako....analonga longa hadi ka msimbazi kako kwisha. Demu anapiga ulabu utafikiri yuko East Africa Breweries! Anauwa kwa kuomba pesa ya Taxi hahahahaha
 
Back
Top Bottom