Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Wadada michango please, nitakuja na version ya wanaume tunapenda nini! Siku ya kwanza tu demu anaomba atumie simu yako....analonga longa hadi ka msimbazi kako kwisha. Demu anapiga ulabu utafikiri yuko East Africa Breweries! Anauwa kwa kuomba pesa ya Taxi hahahahaha

Halafu bahati mbaya zaidi ulabu wenyewe heinnekken! Kama kachukua gari ya boifrendi wa rafiki yake mzee ujue hela ya petroli utatoa. Usisahau siku hiyo atakuwa na allergy ya vyakula vya uswazi. Ataagiza makuku na shangazi zake kuku. Ya kurosti, kuchoma na ya kubanika. Hahaha!
 
Mkuu mbona mchoyo sana wa thanks? unanunulia kweli mademu beer wewe!?
 
Hahaha! Nshakugongea, kaangalie uthibitishe. Bia atanunuliwa kutegemeana na makubaliano. Waulize wahudumu wa maeneo ya Tegeta watakuambia.
 
Washikaji zako mkuu, ama huwa unaacha hela counter wahudumu wakija wanajifanya kuna mtu kakupa offer ili usizungushe round? hahahahaahh watu mahesabu sana hasa nyie wanyimi wa thanks hahahahah
 
Hahaha! Waulize wapwa Geoff, Kaizer na Fidel kilichowatokea Jumamosi. Wacha mchezo mazee. Mi ni mbahili lakini linapokuja swala la kilauri...... hivi kinyume cha ubahili ni nini? Acha tukate mayi bana siku zinakatika hizi.
 
HILI NALITAMBUA!
personally shemeji alinitafutia muhudumu wa kwenda kupumzika nae!SENKSI
 
Na hivi tunavyoongea mpwa Fidel anajivinjari na ile kitu ya jana! Hahaha! Wapwa bana, sikujua hata kinanda tunajua kupiga!!!! Heheheheheheeee! hahahahaha! Dah! Na kale kambulu kale, tukutuku lazima lirudi WHY NOT!
 
Halafu bahati mbaya zaidi ulabu wenyewe heinnekken! Kama kachukua gari ya boifrendi wa rafiki yake mzee ujue hela ya petroli utatoa. Usisahau siku hiyo atakuwa na allergy ya vyakula vya uswazi. Ataagiza makuku na shangazi zake kuku. Ya kurosti, kuchoma na ya kubanika. Hahaha!

Acha ubahili, unapoamua kumtoa mtu Out, Jiandae kaka. wekundu watatu tu mbona wanatosha!!

heineken 4-----------10,000
Serengeti 5(zako)---- 7,500
chakula(roghly)-------15,000
-
-
-
Au mnasemaje waungwana
 
Hahaha! Nshakugongea, kaangalie uthibitishe. Bia atanunuliwa kutegemeana na makubaliano. Waulize wahudumu wa maeneo ya Tegeta watakuambia.
kumbe wewe ni wa tegeta!!! karibu jamvini!
 
mpwa ulipokataa kupokea simu yangu ulinisikitisha sana!call ya kwanza tulikuwa kwa kinibu

I am so sorry....nilikudip na kucall back mazee....! niliacha simu mahali wakichaji si unajua mgao wa iptl?
 
Acha ubahili, unapoamua kumtoa mtu Out, Jiandae kaka. wekundu watatu tu mbona wanatosha!!

heineken 4-----------10,000
Serengeti 5(zako)---- 7,500
chakula(roghly)-------15,000
-
-
-
Au mnasemaje waungwana
hapo ndipo nakataa!
zeropub ukiwa na buku tatu unakula ugali kokoto saaaaaaaaaaaaaaaafi
 
Back
Top Bottom