Nini msukumo wako kujiunga na JF

Kuendeleza harakati zetu za Jambo Forum za kuendelea kuelimishana kwa kuandika yaliyo ya kweli na yenye mashiko kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu Tanzania
Join Date : 11th January 2008
Location : MWANZA
Posts : 215
.

Oldie, Ongera
 
nilijoin...baada ya rafiki yang mpendwa huko bongo alikponielekeza...pia nilipenda forums za JF na michango inayochangiwa.
Naipenda sana vile napata taarifa tele za huko Bongo...na sehem zote Dunian.

Nimeipenda sbabu yako
 
Lol..umenifanya nicheke sana. Huo usharobaro ni wa kwenu vijana, mimi umri umeshapita tayari

hahahaa I love u Rejao...... usiniogope bana nyie wazee ndo wazuri!!
wala siwezi kuku-kanumba
 
Oh I see !!.
LAST WEEK it was around 68,000.
Lots of sun wus.
Why just send sun wu to rehab factory.
His addiction, I guess, will be dealt with accordingly.
And again he'll resurface as same sun wu.

True my friend but don't know if rehab would work.., but sometimes a break does wonders and you can come back afresh.., but the only thing sun wu is very private person loves to be incognito.., so if he will get too big for his boots we will have to kill him.., (need to lay low, sitting on the background with no limelight).

Addiction normally is not with the platform (JF) but with the people within the Platform so whenever that reach critical point its time to be reborn. But I miss the arguments and debates and those can be done critically and non biased when you are an alias.., (anonymous)
 
Dissociative personality disorder.
 
hahahaa I love u Rejao...... usiniogope bana nyie wazee ndo wazuri!!
wala siwezi kuku-kanumba
Na kwa sasa sisi wazee tunawaogopa sana vijana wadogo...tumejifunza mengi kutoka kwa Kanumba!
Tupo pamoja Mama D
 
Dissociative personality disorder.
Mhh just avoiding notice, formal attention and loves to be judged on the comments, rather than as sun wu, would hate if am speaking vapor and people let it slide just because its sun wu, (or vice versa) after all I love being senior member :)
 
mi sikujua kama jf ipo ila siku 1 nikiwa bar nilikaa meza karibu na kigogo mmoja alisha wahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali akiwa na mkada mmoja wa ccm katika maongezi yao waliponda sana jf wakidai watanzania wanapenda umbea tu wengi wao wako jf wajinga sana wale watu alisema maneno yale kwa chuki baada ya pale ikabidi nitafute hiyo jf nikawa nafatilia nikajua kwa nini huyo kigogo aliponda na nikaamua kujiunga
 
nilijoin...baada ya rafiki yang mpendwa huko bongo
alikponielekeza...pia nilipenda forums za JF na michango inayochangiwa.
Naipenda sana vile napata taarifa tele za huko Bongo...na sehem zote
Dunian.

JF ni first for breaking news.
 
mi sikujua kama jf ipo ila siku 1 nikiwa bar nilikaa meza karibu na kigogo mmoja alisha wahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali akiwa na mkada mmoja wa ccm katika maongezi yao waliponda sana jf wakidai watanzania wanapenda umbea tu wengi wao wako jf wajinga sana wale watu alisema maneno yale kwa chuki baada ya pale ikabidi nitafute hiyo jf nikawa nafatilia nikajua kwa nini huyo kigogo aliponda na nikaamua kujiunga
Wengine kama wewe wameingia baada ya Msekwa kuipa promo JF kwenye CC na NEC ya CCM
 
mimi nilikuwa likizo mzee wangu akaniita akaniambia kuna kitu kinaitwa jamiiforums waweza kuniunga, nakumbuka ilikuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi, basi nikamuunga na ndipo nikaifahamu.

Basi akawa akiamka tu yeye na comp yake siku nzima yeye na jf akawa ananisumbua anaandika makala ni michango mirefu kwenye karatasi halafu ananiita nimchapie hapa jf. Nilikuwa nakereka kweli.

Ghafla nikajikuta na mimi navutiwa na michango yake na ya wadau humu.

Nikaona ngoja na mimi nifungue id yangu ili niwe nachangia na kumchallenge mzee wangu bila yeye kujua kama ni mimi.

Na kweli nikafungua nikawa member mzuri tu. Niliporudi chuo nikawa siingii nikasahau hata id na password yangu.

Baadae nikafungua id hii na sasa hivi yani niko jf kila mara yani imekuwa part and parcel of my life na nimewashawishi wengi tu wajiunge nayo.
 
wengine si ni ma antisocial 'agoraphobic' baada ya kujitoa facebook nikaona huku full undercover! ndio nikachoma ndani, maujanja niliyoyakuta balaaa!!!!
 
Mi nilikuwa na browse websites za jokes nikakutana na jamii forums link. Since then, i'm more than addicted, nahama majukwaa tu. I can spend the whole day jf without getting tired.
 
Ilikuwa wakati wa kampeni za 2010 niliamua kujiunga rasmi ili nami niweze toa maoni yangu.Kama kujiunga ilikuwa nijiunge tangu wakati wa Jambo Forum na aliyenifanya niijue Jambo Forum wakati huo ni Mwanakijiji.Nilikuwa nasoma tu posti zake.Lakini mapambano yalipozidi wakat wa kampeni nikaona nijiunge rasmi badala ya kuwa guest always
 
Nilichokipenda jf ni kuwa hulazimishwi kutumia majina yako.Hivyo kuwa huru kutoa hata habari nyeti zinazofanywa na wakubwa maofisini mwetu kwa kuabuse our offices.Ufisadi mkubwa unaweza kuonyeshwa hapa na si kule FB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom