nini matumizi ya switch ya AC/DC kwenye subwofer

nini matumizi ya switch ya AC/DC kwenye subwofer

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,111
Reaction score
4,002
husika na kichwa kuna subwofer sikuizi zina hii switch imeandikwa ac na DC je inafanyaje kazi

asante
 
AC kwa ajili ya umeme wa Tanesco/Generator,DC kwa ajili ya solar na battery
 
sisi uku tunatumia umeme wote wa aina mbili so izo swich muhim sana
 
Back
Top Bottom