bayonamperembi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 368
- 179
Mkuu elezea vizuri japo kidogo hapo,kuna watu wanakosea setting ndo mana inakuwa slow setting yako hakikisha unaweka hivi
name b_internet
APN internet
APN type default
pasword 1111
Asante sana we mjamaa! Nilikuwa nakaribia kutupa line ya halotel. Nimeweka hizo settings imekua poa sana! Umeokoa jahazi kwa kweli.kuna watu wanakosea setting ndo mana inakuwa slow setting yako hakikisha unaweka hivi
name b_internet
APN internet
APN type default
pasword 1111
Voda iko vzr sana. Tatizo wanaiba wazi wazi..MB zinaserereka sana!mwaka wa sita huu niko voda na sijawahi kujuta
Hawa Halotel wamekuwa ******* sana, niko Pugu hapa mtandao unazingua kinoma, yaani wanaboa aisee, tigo nao ndo wapuuzi wa kwanza, yaani mpaka unatamani uhame nchi[emoji53][emoji53]Wadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),
MKUU BLESSED INABIDI HAWA WAPUUZI TUFIKE NAO MWISHO SASA, HAIWEZEKANI WAJIFANYE WANATUPA HUDUMA KUMBE WANATUTIA HASARA:Hawa Halotel wamekuwa ******* sana, niko Pugu hapa mtandao unazingua kinoma, yaani wanaboa aisee, tigo nao ndo wapuuzi wa kwanza, yaani mpaka unatamani uhame nchi[emoji53][emoji53]
Kinachotokea huko mkuu ndio nnachokipata hapa, yaani wiki hii hawa watu sijui wamekuwa mashetani wa namna gani,Hawa Halotel wamekuwa ******* sana, niko Pugu hapa mtandao unazingua kinoma, yaani wanaboa aisee, tigo nao ndo wapuuzi wa kwanza, yaani mpaka unatamani uhame nchi[emoji53][emoji53]
Nami nimeijaribu imekubali.Asante sana we mjamaa! Nilikuwa nakaribia kutupa line ya halotel. Nimeweka hizo settings imekua poa sana! Umeokoa jahazi kwa kweli.
Ni kweli mkuu. Bado haipo vizuri kabisaNami nimeijaribu imekubali.
Japo jamaa mtandao wao bado haupo vizuri kama mwanzo
We jamaa inabidi halotel wakulipe maana umenisaidia sanakuna watu wanakosea setting ndo mana inakuwa slow setting yako hakikisha unaweka hivi
name b_internet
APN internet
APN type default
pasword 1111
Hawa jamaa walianza vzr sana ktk suala zima la bei na upatikanaji wake internet access ila siku hizi naona wamezidiwa wateja yaani wanashindwa kuendana na kasi iko slow saaaana siku hizi mi nipo ubungo pia kimara ila hadi uende maeneo na maeneo much boring ,nimeanza kujiunga na airtel tena.naona walillewa sifaWadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),