Je tovuti yako inatumia PHP-Hili linakuhusu

Je tovuti yako inatumia PHP-Hili linakuhusu

tovuti website

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
433
Reaction score
546
Kwa wamiliki wa biashara zenye tovuti,Developers

Limetolewa Tangazo kuhusu Vulnerability ya kimfumo katika lugha tumizi ya PHP ambayo inatumika sana katika Uundaji na uendeshaji wa Tovuti nyingi duniani.Kwa mtumiaji wa kawaida,Athari yake ni uwezo wa mtumiaji mwenye nia mbaya kufanya shambulizi la kidgitali kwa kuendesha mfuom hatarishi kwemye mashine yako.

Maelezo zaidi yako hapa,
 
Back
Top Bottom