Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 525
Kaka umenichekesha apo saa saba za usiku. Mm mwenyew kazin tunatumia tunajuana wote yan utumwa wake sio kitoto pale unapoenda kugongea unakuwa mdogoooooNilikuwa mtumiaji wa kuberi zilipopigwa stop nikahamia kwenye ugoro, nakumbuka nikiwa 1st yr chuo jamaa angu wa Tanga alinifundisha kutumia ugoro. Stim lake Ni balaa, nikazoea had tukajuana watumiaji hostel mzima, mtu anakuja kukugongea mlango saa7 usiku. Tulifahamiana karibia wote.
Nilikuwa addicted had naanza kazi sikuweza kuacha, nilipooa nilikuwa nauficha bafuni au popote pale ambapo naweza kuingia na kuutumia bila wife kujua, lakini alinikamata nao. Ugoro ni utumwa. Mikono ilikuwa inatetemeka Sana na mdomon kuwa na vidonda.
Sasa Nina zaidi ya miaka 7 sijatumia, ila rafiki angu aliyenifundisha hajaweza kuacha, me nakunywa mvinyo yeye Bado anakula ugoro alafu Ni Headmaster Sasa na amekiri kushindwa kuacha.
Ugoro Ni hatari, Bora beeeer na konyagi aisee.
Unabidi uwe konki km ndo unaaanza lazima unyeninavyosikia ukinywa pombe then ukameza ugoro kifo hichi hpa je kuna ukweli?
Ulimeza mate mjomba😂😂😂ukome.Aaaargh ugoro sio starehe yani nilionaga madhara tu ya wale watumiaji wanachimbika kule ndani ya fizi na kusababisha saratani.
Nimesema ile sio starehe sababu nakumbuka niliweka yan dk 2 tu nikaona dunia kama imeniangukia , mvua imeninyeshea , joto la nguvu, baridi kali, mavi yanataka kutoka, yani ni majuto ya hali ya juu.
Kwann ety?Ugoro zamani ulikuwa wa wazee saivi under 18 wanaubwia kama hawana akili vizuri.
Kutaka kufanya kila kitu na kutafuta stim za bei chee.Kwann ety?
hhhh mkuu unakoelekea sasa ni uchokozi ,haya banaOngeza na redbull mkuu.
😂😂😂😂😂😂 Ila main na figo zioze kabisahhhh mkuu unakoelekea sasa ni uchokozi ,haya bana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 Ila main na figo zioze kabisa
Ela ngumu. Na stimu tunatakaKutaka kufanya kila kitu na kutafuta stim za bei chee.
stimu yake ipoje?Nilikuwa mtumiaji wa kuberi zilipopigwa stop nikahamia kwenye ugoro, nakumbuka nikiwa 1st yr chuo jamaa angu wa Tanga alinifundisha kutumia ugoro. Stim lake Ni balaa, nikazoea had tukajuana watumiaji hostel mzima, mtu anakuja kukugongea mlango saa7 usiku. Tulifahamiana karibia wote.
Nilikuwa addicted had naanza kazi sikuweza kuacha, nilipooa nilikuwa nauficha bafuni au popote pale ambapo naweza kuingia na kuutumia bila wife kujua, lakini alinikamata nao. Ugoro ni utumwa. Mikono ilikuwa inatetemeka Sana na mdomon kuwa na vidonda.
Sasa Nina zaidi ya miaka 7 sijatumia, ila rafiki angu aliyenifundisha hajaweza kuacha, me nakunywa mvinyo yeye Bado anakula ugoro alafu Ni Headmaster Sasa na amekiri kushindwa kuacha.
Ugoro Ni hatari, Bora beeeer na konyagi aisee.
stimu yake ipoje?Kaka umenichekesha apo saa saba za usiku. Mm mwenyew kazin tunatumia tunajuana wote yan utumwa wake sio kitoto pale unapoenda kugongea unakuwa mdogooooo
Kama kulewa flani ivi ila within ten minute inaisha(kastimu kakishenzi)stimu yake ipoje?
hahahaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ntajaribu one dayKama kulewa flani ivi ila within ten minute inaisha(kastimu kakishenzi)
Sku ya kwanza ni balaaa hasa ukikutana na ile yenyewehahahaah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ntajaribu one day
Hahaha sasa hiyo ni starehe au matesoninavyosikia ukinywa pombe then ukameza ugoro kifo hichi hpa je kuna ukweli?