Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #41
soma uelewe, kuna mabaraza yanahitaji utimamu.mpaka mzike ndiyo mtajua kuna zika
soma uelewe, kuna mabaraza yanahitaji utimamu.mpaka mzike ndiyo mtajua kuna zika
Nini madhara ya kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina maambukizi ya Zika kwa 15.6%?Mtafiti hakusema kuna mlipuko bali ugonjwa upo. Kuna tofauti kati ya kauli hizo mbili na hiyo yako ndio inaleta taharuki. FYI ugonjwa wa Zika uligundulika Uganda na hivyo chances kuwepo Tanzania ni kubwa. Hata neno lenyewe ni.la Kiswahili.
Hakuna madhara, kuna faida kubwa.Nafikiri wengi wanaonekana kulichukulia suala tangazo la Zika kwa ulimwengu kama jambo la kawaida. Tunakumbuka Miaka michache iliyopita baada ya madhara ya mlipuko wa dhahiri wa Zika kuikumba Brazil ilifika almanusura michuano ya olimpiki ipigwe marufuku,na hata kombe la dunia nchini humo liliathirika.
Natambua wengi wanafikiri uwepo wa Zika Tanzania utawanufaisha kisiasa au utawasaidia kupata umaarufu kisiasa ndio maana pengine wameibuka watu wanaotumia mwanya huu pengine kufurahia jambo hili.
Sipingi utafiti wa wataalamu wa afya tena ni taasisi ya serikali ila nimetaka kujua kutoka kwa wajuzi ni hatua gani hupitia ili kutangaza janga Fulani kwa nchi hasa la maradhi kwani matamko mengine huleta tafrani kubwa na kuathiri utalii,uwekezaji nk.
Nini madhara ya kuitangaza Tanzania kuwa imekumbwa na janga la Zika? ni taratibu gani hutumika kutangaza majanga? utafiti wa NIMR ulifadhiliwa na nani? kama ni serikali Je serikali ilipewa ripoti kabla ya kutangazwa kwa ulimwengu?
Kutangaza Mtangaze wenyewe ma CCM mtumbuane halafu mnakuja kulalamika huju JFNafikiri wengi wanaonekana kulichukulia suala tangazo la Zika kwa ulimwengu kama jambo la kawaida. Tunakumbuka Miaka michache iliyopita baada ya madhara ya mlipuko wa dhahiri wa Zika kuikumba Brazil ilifika almanusura michuano ya olimpiki ipigwe marufuku,na hata kombe la dunia nchini humo liliathirika.
Natambua wengi wanafikiri uwepo wa Zika Tanzania utawanufaisha kisiasa au utawasaidia kupata umaarufu kisiasa ndio maana pengine wameibuka watu wanaotumia mwanya huu pengine kufurahia jambo hili.
Sipingi utafiti wa wataalamu wa afya tena ni taasisi ya serikali ila nimetaka kujua kutoka kwa wajuzi ni hatua gani hupitia ili kutangaza janga Fulani kwa nchi hasa la maradhi kwani matamko mengine huleta tafrani kubwa na kuathiri utalii,uwekezaji nk.
Nini madhara ya kuitangaza Tanzania kuwa imekumbwa na janga la Zika? ni taratibu gani hutumika kutangaza majanga? utafiti wa NIMR ulifadhiliwa na nani? kama ni serikali Je serikali ilipewa ripoti kabla ya kutangazwa kwa ulimwengu?
haya mkuusoma uelewe, kuna mabaraza yanahitaji utimamu.
Kwa hiyo kama hujui kaukwaa ni poa tu kugegedana naye sio ?Sasa hao watalii waje kwa pesa zao watumie pesa zao
halafu tuwazawadie Zika hivi una akili wewe
yaani unajua huyu mtu kaukwaa halafu unagegedana nae ??
wacha waendelee kujitekenya
Cdc marekaniii wanataadharisha watu kuja tz
hailet impact yeyote hata wakitumbuana
Ila JPM kapanic asee mshaurini bas hata aende Hawaii this x-mass akirudi am sure atakua kabadilika
[HASHTAG]#free[/HASHTAG] melo
[HASHTAG]#bring[/HASHTAG] Ben
[HASHTAG]#justice[/HASHTAG] for lema
Si kila sehemu ya kuonyesha jinsi ulivyo chini,badilika.Ila JPM kapanic asee mshaurini bas hata aende Hawaii this x-mass akirudi am sure atakua kabadilika
[HASHTAG]#free[/HASHTAG] melo
[HASHTAG]#bring[/HASHTAG] Ben
[HASHTAG]#justice[/HASHTAG] for lema
Zika ni nini wakuu?
Nyumbu mkubwa wewe! Nani kakwambia wamejaza watu, amekwambia damu inaonyesha wana virusi wa zika! Subiri Watoto watakaozaliwa na hao wamama wenye zika ukishawaona ndio utafungua mdomo vizuriPimbi kabisa iko wapi kambi ya zika, wangapi wamelazwa kisa zika.
Huyu.maza kaikosea sana taaluma yake.
Nini madhara ya kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ina maambukizi ya Zika kwa 15.6%?
Nina hakika furaha yako kubwa ni pale nchi inapopata majanga.wacha waendelee kujitekenya
Matusi ya nini dogo? jenga hoja utaeleweka tu.Nyumbu mkubwa wewe! Nani kakwambia wamejaza watu, amekwambia damu inaonyesha wana virusi wa zika! Subiri Watoto watakaozaliwa na hao wamama wenye zika ukishawaona ndio utafungua mdomo vizuri
Wewe mpuuzi kweli uhakika gani uanozungumzia ? Hiyo taasisi iliyotoa huo utafiti ni ya wapi ? Hivi wewe kila kitu lazima uteteeeTumia kichwa kufikiri !!
Unauhakika na unacho kizusha?
'sample size' inawakilisha idadi ya watu wote au hujui dogo? rudi shule ili uelewe maana yake.Acha kupotosha. Hiyo asilimia ni ya sample size ya watu 536 na sio 48m.
Hakuna madhara yeyote wewe endelea na shughuli zako na kampongeze Polepole akupe hata buku.
no furaha yangu kubwa kuona nchi ipo kwenye amani na wanachi wapo kwenye hali nzuri.. siwezi ombea chungu nacho pikia kipasuke never .. napenda tanzania ila kuna watu wachache wanataka kufanya kila kitu siasa hapo ndipo napo chukiaNina hakika furaha yako kubwa ni pale nchi inapopata majanga.
Kwani huwa wanawekwa kambini kama kipindu pindu?Pimbi kabisa iko wapi kambi ya zika, wangapi wamelazwa kisa zika.
Huyu.maza kaikosea sana taaluma yake.