iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,438
- 14,916
Ili iweje?Sawa sikatai sasa kwa sababu NIMR ni taasisi ya serikali kwanini asipeleke kwanza wizarani na Ikulu?
Ili iweje?Sawa sikatai sasa kwa sababu NIMR ni taasisi ya serikali kwanini asipeleke kwanza wizarani na Ikulu?
Natumaini wewe mtoto wako au familia yako ndio itakuwa mrejesho usibishane na phd ya u doctor
wewe kabishane na wakina kigwagalla na wale wote walio disco na kununua majina.
HUNA ELIMU YA JUU
swissme
umetoka kwenye Bani sasa nenda shule kajifunze hata kuchomelea vyumaJinsia gani we we?
Umesoma ripoti ya utafiti walioufanya kabla hujaandika ulichoandika hapa?Pimbi kabisa iko wapi kambi ya zika, wangapi wamelazwa kisa zika.
Huyu.maza kaikosea sana taaluma yake.
repoti ya utafiti ni mali ya mfadhili, ni jukumu la mfadhili kufanyia kazi ripoti hiyo ikiwamo na kuandaa program za kupambana na madhara ya ugonjwa kabla ya kuutangazia ulimwengu.Ili iweje?
mambo huwa hayaendi hivo pimbi weweHivi kwa nini mnataka kuficha maradhi ili kifo kituumbue acheni kutudanganya watanzania Dr mwele yupo sahihi acheni siasa kwenye mambo ya maana
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
muelimishe taratibu.Umesoma ripoti ya utafiti walioufanya kabla hujaandika ulichoandika hapa?
Ni kweli mkuu, nini madhara ya kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania imekumbwa na mlipuko wa Zika?