Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Wanyama walao nyama na walao majani tu..mfano Simba chui swala fisi nyumbu n.kMfano..?
Wanyama walao nyama na walao majani tu..mfano Simba chui swala fisi nyumbu n.kMfano..?
Sio nuksi mkuuukiangalia hiyo picha unaona wote wanahangaika kutetea uhai wao je,uhai ni nuksi au sio..?
![]()
Kama chui anamkimbiza swala ili amle aendelee kuwa hai na swala anamkimbia chui ili kutetea uhai wake.. Nini maana ya uhai ktk hiyo picha..?
Yaani hiyo sentensi yako inaleta maana nyingine kabisa.Survive for the fittest