Nini maana ya simu ya mkononi kwa mwanamke

Nini maana ya simu ya mkononi kwa mwanamke

Mnunulie Iphone 6 au Samsung S6 au smartphone yeyote nzuri kwanzia 1 Million hapo atapokea simu yako chap kama vile alikuwa anakusubiria upige..Kama ni Nokia ya torch anaona aibu kupokea mbele ya mashosti zake mkuu
 
Atakuwa anaona unavyompigia ila haoni umuhimu wa kupokea..
 
Kweli kabisa huyo amwangalie mkewe tena na tena now a days mambo ya Facebook Whatsup Instagram Badoo Tweeter yote hayo still kaweka simu mbali..
Labda kamnunulia mkewe Nokia ya Torch(Mulika mwizi) alf kaweka vibration

Mnunulie Iphone 6 au Samsung S6 au smartphone yeyote nzuri kwanzia 1 Million hapo atapokea simu yako chap kama vile alikuwa anakusubiria upige..Kama ni Nokia ya torch anaona aibu kupokea mbele ya mashosti zake mkuu

Safi sana, napenda watu wenye upeo mpana wa kuona mbali kama wewe,
🙂
 
Back
Top Bottom