Nini maana ya Siasa?

"Politics is A Science" by Harold Laswell
Ni Sayansi ambayo ina wataalam wachache wanaoweza kuhimili miiiko yake.
 
Siasa ni mchezo mchafu!
Siyo sanaa wala sayansi, bali ni mchezo fulani!
 
Siasa sio sayansi wala sanaa.
 
Siasa ni mibinyo ya kiitifaki..
 
Mkuu umeuliza swali zuri.

Bila shaka siasa inamaana yake ya asili ambayo inafahamika.

Hapo juu wadau wamtaja maana ambazo sio rasmi lakini ukiangalia kuna ukweli kwa sababu siasa leo hii imebeba sura tofauti.

Imefikia hatua leo hii mtu akiwa muongo muongo/ mbabaishaji basi ndio anaambiwa analeta siasa, kwa sababu ndio sifa ya siasa leo hii.
 
Kuna aina mbili ya sayansi ambazo ni natural science na social science, sasa siasa iko kwenye kundi la social science kwa mtazamo huo siasa ni sayansi, tatizo hapo labda liko kwa hawa wafanya siasa wenyewe ndio wasanii (haya ni mawazo yangu lakini ndg)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…