Nini maana ya shemu darling?

Mhusika Mkuu Jua la Jioni.
Anakuwa hana swaga πŸ˜…
Hakuna kitu tena mashem huwa wanakuwa wapole sio waongeaji ni nyie na tamaa zenu tu. Yaani hata kama ni mwongeaji hawezi kabisa kuzidisha Sehem anayo jua bro anakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…