Hivi ni phylo au philo?
Nauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
Ndugu WanaJamii, nadhani tu wazima sisi ni jambo la kumshukuru manani. Mwenye ujuzi nilikuwa nataka atufafanulie maana ya Philosophy (Falsafa). na vipi mtu awe Philosopher (MwanaFalsafa) kama akina Robin Sharmah, Albert Einstein, Phill Collins, Francis Bacon, Isaac Newton na wengi wengineo.
Nawasilisha wana White House wa JamiiForums.
Nauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
hahah! kwa mpicha huu, huyu anafaa kabisa kujiita mwanafalsafa, ukiangalia ilo pozi la picha utaanza kujiuliza maswa mengi sana, kwanini pozi kama hilo pichani? na kitendo cha kijiuliza maswali kichwani hapo ndipo philosophy inapoanza ujue!Nauliza huyu mdau hapa pichani anastahili kujiita anavyojiita?
Nice! Opinion brother!Falsafa ni maelezo ya kitaalamu yenye hekima kubwa yanayoweza kumfaa mtu yeyote yule anayeishi duniani, pindi akiamua kuyazingatia na kuyafuata. Pia, mwanafalsafa ni mtu anayependa hekima, japo anaweza pia asiifuate. Kupenda kitu na kuzingatia maelezo yake ni vitu viwili tofauti!
Exactly brother!👌Hilo somo kuna haja liwe linafundishwa kuanzia sekondari form one..litafanya wanafunzi wajitambue zaidi..