Nini maana ya neno Kuntu?

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
152
Wadau naomba mnijuze maana ya neno kuntu,kwamaana nimeliona likitumika sehemu mbalimbali.
 
kuntu maana yake kuntu kama unabisha google uone
 
wengi mmepatia,neno hili alipenda kulitumia mwl wangu wa kiswahili wa chuo cha ualimu hasa anapojibu swali.
 
KUNTU ni neno la kiarabu lenye maana wakati uliopita.(mfano:KUNTU mina suuk-nilikuwa sokoni)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…