Nini maana ya neno 'Dude'

Katika nchi yetu huwezi kutofautisha magazeti ya udaku na ya habari makini
 
Reactions: BAK
Kwa muktadha uliopo sasa, neno DUDE limebebeshwa maana ya "Hoja Nzito".
 
Msemo huu uliaza pale rais wa NK bwana Kim alipofyatua kombora moja matata ambalo marekani na washirika wake Walionekana kusinyaa, kumbukeni hapa jf forums kulikuwa na team mbili team ya KIM na Team ya TRUMP hivyo wale team Kim waliposti maneno hayo kuwa NK inaacha DUDE

Ili sasa tupate uwiano wa neno DUDE la gwajima basi tulinganishe na uhalisia wa neno la dule like kombora LA Korea

Inamaana dude tunaweza kusema ni jambo au kitu chochote ambacho kikiruhusiwa kuachiwa au kusemwa kinaleta madhara upande wa pili.
 
Dude
Ni ni Dudu
Nadhani ulishamsikia mtu anaitwa Dudubaya.
Anaweza akaitwa pia Dudebaya.
Dudu au Dude ni mdudu akiwa mkubwa.
Inaanza, Kamdudu(e) Mdudu(e) Dudu(e). Lidudu(e) , Gududu(e).
Kwa kiswahili
Wazungu wanapenda kutamka Dude kama wanavyopenda jina la Mama wakaita Mom
Kwenye picha zao za video utasikia wanaitana, Yah..Dude..!
Wanatamka dyud
Kwao Dude ni rafiki wa ukweli mwenye nguvu na msaada wa ihakika. nineno la mtaani.

Yes..Dude..!

Ni maoni yangu tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…