Nini maana ya ndoto hii?

Nini maana ya ndoto hii?

Nimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lakini akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale

Basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita nje baada ya kunifungulia nikaanza kukimbia lkn ile natoka nje nakutana na giza sana nje kiasi kwamba sioni njia lkn wakati nakimbia hivyohivyo ghafla

Nikaona mtu mbele yangu akingaa sana kama taa akiwa anakimbia mbele yangu kwahyo nikawa naona njia vzr huku nakimbia ,tumekimbia sana nikimfata mtu yule hadi kulipopambazuka ndipo akanionesha njia ya kupita na nikamshukuru na hapohapo usingizi akaisha nikazinduka
Haina kitu mzee ni ubongo wako.
 
Kuna janga kubwa litakufika,ila utali-solve.....huenda ukaenda hata jela mkuu! Omba Mungu akuepushie...... By

Shekhe Yahya wa mchongo
 
NDOTO NI MLANGO WA KULETA TAARIFA IWE MBAYA AU NZURI.

Ndoto yako inakupa taarifa ya unachokipitia au ulichokipitia na namna ulivyosaidiwa.

Kufungiwa mahali ni gereza la ulimwengu wa roho kwamba nyanja zako zote zimetekwa kupitia nafsi yako. Na kilichofungwa ni nafsi yako.

KUFUNGULIWA: umepata neema ya kufunguliwa kutokana na jitihada zako ulizozionyesha za kutaka kutoka kwenye hicho kifungo.

“na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu. ”

KUKIMBIA: Ni hali ya kukimbia mambo yaliyosababisha kufungwa.

MWANAGA: Ni neno la Mungu ulilokuwa nalo moyoni haijalishi wingi wake.
“Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.

— Zaburi 119:105

HII NDOTO INAASHILIA USHINDI WA NAFSI YAKO KUTOKANA NA VIFUNGO VYA KIDUNIA. ENDELEA KUSHIKILIA UNACHOKIAMINI. SOMA NENO SA
— Ufunuo wa Yohana 1:18 (Biblia Takatifu)
 
Nishafikwa na mabaya Mkuu why usiseme ndo mda wa mafanikio? Acha utapeli ,kwanza hakuna mtu wa kutafsli ndoto now Ni Mungu pekee tu
 
Nimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lakini akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale

Basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita nje baada ya kunifungulia nikaanza kukimbia lkn ile natoka nje nakutana na giza sana nje kiasi kwamba sioni njia lkn wakati nakimbia hivyohivyo ghafla

Nikaona mtu mbele yangu akingaa sana kama taa akiwa anakimbia mbele yangu kwahyo nikawa naona njia vzr huku nakimbia ,tumekimbia sana nikimfata mtu yule hadi kulipopambazuka ndipo akanionesha njia ya kupita na nikamshukuru na hapohapo usingizi akaisha nikazinduka
Huyo aliyekuongoza njia aking'aa ni Yesu, na amekuondoa kwenye vifungo vibaya ulivyokuwa umewekewa. Jitahidi kushriki ibada na kutoa sadaka.
 
NDOTO NI MLANGO WA KULETA TAARIFA IWE MBAYA AU NZURI.

Ndoto yako inakupa taarifa ya unachokipitia au ulichokipitia na namna ulivyosaidiwa.

Kufungiwa mahali ni gereza la ulimwengu wa roho kwamba nyanja zako zote zimetekwa kupitia nafsi yako. Na kilichofungwa ni nafsi yako.

KUFUNGULIWA: umepata neema ya kufunguliwa kutokana na jitihada zako ulizozionyesha za kutaka kutoka kwenye hicho kifungo.

“na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu. ”

KUKIMBIA: Ni hali ya kukimbia mambo yaliyosababisha kufungwa.

MWANAGA: Ni neno la Mungu ulilokuwa nalo moyoni haijalishi wingi wake.
“Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.

— Zaburi 119:105

HII NDOTO INAASHILIA USHINDI WA NAFSI YAKO KUTOKANA NA VIFUNGO VYA KIDUNIA. ENDELEA KUSHIKILIA UNACHOKIAMINI. SOMA NENO SA
— Ufunuo wa Yohana 1:18 (Biblia Takatifu)
umetafsiri kwa usahihi kabisa

1.KIFUNGO cha kiroho ukiwa chini ya kifungo cha kiroho,unaishi maisha ya utumwa,au chini ya kiwango hatima yako au stahili yako..unakosa mafanikia ya kiroho na kimwili uliyostahili ukiyokusudiwa uliyoandikiwa hatima yako...

hati za mashitaka zinazoplekea kumuweka mwanadamu kifungoni moja wapo ni kuishi maisha ya dhambi ,dhambi za sirini au dhambi za matendo,mawazo na maneno..au hata maagano yaliyofanyika na wazazi wetu hata kabla sisi hatujazaliwa..makosa ya wazazi wetu yanaweza kuchangia roho zinazofuatilia hata kwenye familia zinazotembea kwenye damu ya ukoo...

mlango mmoja wapo unao mpa adui shetani na mawakala wake mapepo na washirikina kukushitaki na kukuweka kifungoni ni dhambi unazozifanya bila kutubu na kuziacha,

Kufanikiwa kutoka kifungoni na kukimbia kutok kifungoni..ni jitihada za kujinasua mwenyewe kutoka kifungoni..

njia ya giza ...ni pale jitihada zako binafsi na njia zako binafsi unazopitia za kujinasua mwenyewe kuwa na giza maana siyo njia sahihi mbele zina giza hazitasaidia..

lakini kupata msaada wa mtu mwenye nuru na kukuangazia nuru njia zako ,huyo ni YESU yeye ndiye nuru ya ulimwengu,na Yesu ndiye NJIA, KWELI NA UZIMA

NINI CHA KUFANYA.
Yesu ndiye nuru ya ulimwengu,njia ,kweli na uzima.
Yesu pia anaitwa NENO kama mtafsiri alivyotafsiri kuwa NURU ni NENO la Mungu ,ambao lina nguvu,lina uhai,lina ukali zaidi ya upanga unaokata kuwili.

TUBU dhambi zako na kuziacha
muombe Yesu aongoze hatua zako za miguu yako.
Yesu mkiri kuwa ndiye pekee aliyelioa gharama pale msalabani ili kutuweka huru kweli kweli tusiwe tena chini ya vifungo na utumwa wa dhambi.
 
Mkuu fua hayo mashuka,
Giza ni uchafu wa mashuka,

Usinifokee coz huo ndio utaalamu wangu wa kujua kwanini umeota hivyo.
 
kuna mtu alikua anakutumia nyota yako lakini mungu atakusimamia hatimae utajitoa kwa mtu huyo anaekutumia kwa msaada wa mtu mwingine. ila ukishafanikiwa kujitoa utakutana na maisha magumu kidogo ila hutakiwi kukata tamaa maana huko mbele shida itaisha.

kwahiyo kama kuna sehem ulikua unafanya kazi na ukaondoka basi upo salama na usijisikie vibaya huko mbeleni kutakua na mafanikio.
kama unasikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom