Nini Maana ya Msukule kwa Kingereza?

Nini Maana ya Msukule kwa Kingereza?

davidm

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
393
Reaction score
128
Nini tafsiri sahihi ya kingereza ya neno msukule? Anayejua anisaidie
 
Nini tafsiri sahihi ya kingereza ya neno msukule? Anayejua anisaidie
Unatamka Kinyume chake yaani Lekusum. Unao wa kizungu unataka uwe unauita kizungu?
 
Zombie ndio msukule. Ghost ni mzimu. Na huyo anayesema hakuna msukule hajitambui. Kuna sehemu ya ulimwengu huu haionekani. Ni ulimwengu wa roho. Kuna watu wanaoona katika ulimwengu huo. Ndani ndio kuna mizimu, majini, misukule, na malaika. Wachawi wanaingia humo na kukuona wewe unayesema hakuna kitu kama hicho na wanakuloga kirahisi kabisa ukibaki kusema hakuna uchawi
 
Back
Top Bottom