Nini Maana ya Msukule kwa Kingereza?

Nini Maana ya Msukule kwa Kingereza?

Zee la Hekima umeongea vizuri sana. Ila kuna ishu ndogo hujaizingatia. Msukule kama dhana, hakuna mwenye ubishi nayo. Lakini ukitafuta istilahi Msukule katika lugha ya Kiingereza, hapo ndipo tunaachana. Ni lazima ufahamu kuwa lugha ni sehemu muhimu wa UTAMADUNI wa watu. Na Utamaduni mmoja unatofautiana na mwingine! Kwa hiyo itoshe tu kusema, kwa Utamaduni wa mkusanyiko wa makabila ya Wabantu (Kiswahili inclusive) neno Msukule linafahamika. Ila kwa Utamaduni wa kiinglish ni suala tete!
 
Nini tafsiri sahihi ya kingereza ya neno msukule? Anayejua anisaidie
Tafasiri kwa lugha ya kueleweka ni NDONDOCHA yaani mtu aliyepumbazwa akili kwa nguvu za Giza.
Kuna baadhi ya maneno ndani ya lugha ya kiswahili yalikosa maneno yakuholewa kolutoka lugha zingine ambayo katika lugha ya kiswahili hutumika kam yalovyo
 
Hakuna tafsiri ya neno'' msukule'' kwa kingereza maana msukule ni mtu aliechukuliwa kichawi watu wakaamin kuwa Fulani kafariki kumbe yu hai. Ndo maana wabongo tukaita hivyo. Wenzetu wazungu hawana misukule ndo maana neno hili halipo in English!!!!
 
Back
Top Bottom